Haumea : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Content
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 11: Mstari 11:

Masi yake ni takriban theluthi moja ya [[Pluto]]. Umbo halifanani na tufe; umbo la Haumea limefananishwa na kiazi au sigara. Nadharia moja inajaribu kueleza umbo na mzunguko wake wa haraka kutokana na mgongano na gimba kubwa takriban miaka bilioni 4 iliyopita.<ref>[http://web.gps.caltech.edu/~mbrown/2003EL61 ], tovuti ya Caltech, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.

== Marejeo ==
<references/>

{{Mfumo wa jua}}
{{Mfumo wa jua}}

Pitio la 09:25, 12 Oktoba 2017

Kielelezo cha Haumea

Haumea ni sayari kibete inayozunguka jua letu katika umbali mkubwa kwenye ukanda wa Kuiper.

Haumea ina miezi miwili: Hiiaka na Namaka.

Haumea inapita obiti yake ya kuzunguka Jua katika muda wa miaka 285 na miezi 6.

Periheli yake ina umbali wa vizio astronomia 35, afeli wa vizio astronomia 51 kutoka Jua.

Obiti ina mwinamo wa nyuzi 28,2° dhidi ya ekliptiki.

Masi yake ni takriban theluthi moja ya Pluto. Umbo halifanani na tufe; umbo la Haumea limefananishwa na kiazi au sigara. Nadharia moja inajaribu kueleza umbo na mzunguko wake wa haraka kutokana na mgongano na gimba kubwa takriban miaka bilioni 4 iliyopita.[1].

Marejeo

  1. [1], tovuti ya Caltech, iliangaliwa Oktoba 2017