Rada : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Rada''' ni mfumo wa unaotumia mawimbi ya redio kutambua vitu na vyombo mbalimbali kwa kuangalia mambo kama aina, mwelekeo, kasi, n.k. Rada hutumika kuchunguza [[ndege]], [[meli]], [[roketi]], magari, hali ya hewa, n.k. Mfumo wa rada una unatumia [[transimita]] kuzalisha mawimbi ya umeme na sumaku aina ya redio na [[antena]] ya kurusha na antena ya kupokea (mara nyingi antena hiyo hiyo hutumika kwa kurusha na kupokea) na chombo cha kupokea na kutafsiri kitu kinachochunguswa.
'''Rada''' ni mfumo unaotumia [[mawimbi]] ya [[redio]] kutambua vitu na vyombo mbalimbali kwa kuangalia mambo kama aina, mwelekeo, [[kasi]] n.k.


Rada hutumika kuchunguza [[Ndege (uanahewa)|ndege]], [[meli]], [[roketi]], [[Gari|magari]], [[hali ya hewa]], n.k.
Rada iliundwa kwa siri kwa matumizi ya kijeshi na mataifa kadhaa katika kipindi cha kabla na wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].


Mfumo wa rada unatumia [[transimita]] kuzalisha mawimbi ya [[umeme]] na [[sumaku]] aina ya redio na [[antena]] ya kurusha na antena ya kupokea (mara nyingi antena hiyohiyo hutumika kwa kurusha na kupokea) na chombo cha kupokea na kutafsiri kitu kinachochunguzwa.
== Viungo vya Nje ==

Rada iliundwa na [[Taifa|mataifa]] kadhaa kwa [[siri]] kwa matumizi ya [[Jeshi|kijeshi]] katika kipindi cha kabla na wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].

== Viungo vya nje ==
* [http://ocw.mit.edu/resources/res-ll-001-introduction-to-radar-systems-spring-2007/ Mafunzo kwa video kuhusu mfumo wa rada unavyofanya kazi]
* [http://ocw.mit.edu/resources/res-ll-001-introduction-to-radar-systems-spring-2007/ Mafunzo kwa video kuhusu mfumo wa rada unavyofanya kazi]
* [https://en.wikipedia.org/wiki/History_of_radar Historia ya rada]
* [https://en.wikipedia.org/wiki/History_of_radar Historia ya rada]


{{tech-stub}}


[[Jamii:Vifaa]]
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Teknolojia]]

Pitio la 11:51, 11 Oktoba 2017

Rada ni mfumo unaotumia mawimbi ya redio kutambua vitu na vyombo mbalimbali kwa kuangalia mambo kama aina, mwelekeo, kasi n.k.

Rada hutumika kuchunguza ndege, meli, roketi, magari, hali ya hewa, n.k.

Mfumo wa rada unatumia transimita kuzalisha mawimbi ya umeme na sumaku aina ya redio na antena ya kurusha na antena ya kupokea (mara nyingi antena hiyohiyo hutumika kwa kurusha na kupokea) na chombo cha kupokea na kutafsiri kitu kinachochunguzwa.

Rada iliundwa na mataifa kadhaa kwa siri kwa matumizi ya kijeshi katika kipindi cha kabla na wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.