Rada : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Rada''' ni mfumo wa unaotumia mawimbi ya redio kutambua vitu na vyombo mbalimbali kwa kuangalia mambo kama aina, mwelekeo, kasi, n.k. Rada hutumika kuchunguz...'
 
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
* [http://ocw.mit.edu/resources/res-ll-001-introduction-to-radar-systems-spring-2007/ Mafunzo kwa video kuhusu mfumo wa rada unavyofanya kazi]
* [http://ocw.mit.edu/resources/res-ll-001-introduction-to-radar-systems-spring-2007/ Mafunzo kwa video kuhusu mfumo wa rada unavyofanya kazi]
* [https://en.wikipedia.org/wiki/History_of_radar Historia ya rada]



{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

Pitio la 07:48, 11 Oktoba 2017

Rada ni mfumo wa unaotumia mawimbi ya redio kutambua vitu na vyombo mbalimbali kwa kuangalia mambo kama aina, mwelekeo, kasi, n.k. Rada hutumika kuchunguza ndege, meli, roketi, magari, hali ya hewa, n.k. Mfumo wa rada una unatumia transimita kuzalisha mawimbi ya umeme na sumaku aina ya redio na antena ya kurusha na antena ya kupokea (mara nyingi antena hiyo hiyo hutumika kwa kurusha na kupokea) na chombo cha kupokea na kutafsiri kitu kinachochunguswa.

Rada iliundwa kwa siri kwa matumizi ya kijeshi na mataifa kadhaa katika kipindi cha kabla na wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rada kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.