Wilaya ya Kigamboni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20: Mstari 20:
[[Picha:DarEsSalaam-Skyline.jpg|thumb|200px|Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam]]
[[Picha:DarEsSalaam-Skyline.jpg|thumb|200px|Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam]]
[[Image:DarEsSalaam-KigamboniBeach.jpg|thumb|200px|Mapumziko Kigamboni ufukoni]]
[[Image:DarEsSalaam-KigamboniBeach.jpg|thumb|200px|Mapumziko Kigamboni ufukoni]]

'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya]] ya [[Temeke]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ina wakazi wapatao 30,496 waishio humo.<ref>http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Wilaya ya Temeke - Mkoa wa Dar es Salaam</ref>

'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la [[Wilaya]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''17000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf</ref> . Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ina wakazi wapatao 30,496 waishio humo.<ref>http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Wilaya ya Temeke - Mkoa wa Dar es Salaam</ref>


Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]].
Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]].

Pitio la 10:07, 7 Oktoba 2017


Kata ya Kigamboni
Kata ya Kigamboni is located in Tanzania
Kata ya Kigamboni
Kata ya Kigamboni

Mahali pa Kigamboni katika Tanzania

Majiranukta: 6°52′8″S 39°15′40″E / 6.86889°S 39.26111°E / -6.86889; 39.26111
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Temeke
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 30,496
Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam
Mapumziko Kigamboni ufukoni


Wilaya ya Kigamboni ni jina la Wilaya katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 17000[1] . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 30,496 waishio humo.[2]

Kigamboni ina umbo la rasi kati ya Bahari Hindi na maji ya bandari. Imetengwa na jiji la Dar es Salaam kwa maji ya Kurasini Creek.

Mawasiliano yapo kwa njia ya feri kati ya Kigamboni na Kivukoni upande wa jiji. Kuna pia barabara inayozunguka bandari lakini njia hii ni ndefu mno ni kilomita zaidi ya hamsini hadi kitovu cha jiji kwa njia ya nchi kavu. Kuna mipango ya kujenga daraja.

Pia Kigamboni katika kata ya Vijibweni ndiyo sehemu ambapo kuna yadi nyingi za mafuta k.mf. kampuni zinazohifadhi mafuta katika yadi hizo ni: CAMEL OIL, OIL COM, BIG BON na nyinginezo.

Kiasili sehemu hii ilikuwa kijiji cha wavuvi lakini katika miaka ya nyuma watu wa jijini wamejenga nyumba na hoteli za kitalii zimeenea kwenye ufuko wa Bahari Hindi.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania

Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni | Sandali | Tandika | Temeke | Toangoma | Yombo Vituka