22 Oktoba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 6: | Mstari 6: | ||
== Waliozaliwa == |
== Waliozaliwa == |
||
* [[1197]] - [[Juntoku]], mfalme mkuu wa Japani (1210-1221) |
|||
* [[1811]] - [[Franz Liszt]], mtunzi na mpiga kinanda kutoka [[Hungaria]] |
* [[1811]] - [[Franz Liszt]], mtunzi na mpiga kinanda kutoka [[Hungaria]] |
||
* [[1870]] - [[Ivan Bunin]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1933]] |
* [[1870]] - [[Ivan Bunin]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1933]] |
Pitio la 16:56, 2 Oktoba 2017
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Oktoba ni siku ya 295 ya mwaka (ya 296 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 70.
Matukio
Waliozaliwa
- 1197 - Juntoku, mfalme mkuu wa Japani (1210-1221)
- 1811 - Franz Liszt, mtunzi na mpiga kinanda kutoka Hungaria
- 1870 - Ivan Bunin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1933
- 1881 - Clinton Davisson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
- 1903 - George Beadle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958
- 1906 - Sidney Kingsley, mwandishi kutoka Marekani
- 1919 - Doris Lessing, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2007
- 1967 - Carlos Mencia, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1973 - Ichiro Suzuki, mchezaji wa baseball kutoka Japani
Waliofariki
- 1986 - Albert Szent-Györgyi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1937
- 1990 - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Papa Yohane Paulo II
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |