Kitabu cha Mhubiri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131072 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mhubiri''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu cha hekima]] vilivyomo katika [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebrania]]) na hivyo pia katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]].
'''Mhubiri''' (pia: '''Koheleti''') ni kimojawapo kati ya [[vitabu cha hekima]] vilivyomo katika [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebrania]]) na hivyo pia katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]]. Kwa sababu hiyo kilidhaniwa kimeandikwa na [[mfalme Solomoni]], kielelezo cha [[hekima]] katika [[Biblia]].

[[Kitabu]] hicho kina [[sura]] [[kumi na mbili]] na kwa kiasi kikubwa kimeandikwa kwa njia ya [[ushairi]].


==Jina==
==Jina==
Katika [[lugha]] ya [[Kiebrania]] [[jina]] lake ni '''קֹהֶלֶת''' (Qohelet), maana yake "Mhadhiri": ndivyo anavyojiita [[mwandishi]], ambaye hajulikani kwa jina.

Katika lugha ya [[Kiebrania]] jina lake ni '''קֹהֶלֶת''' (Qohelet), maana yake "Mhadhiri": ndivyo anavyojiita mwandishi, ambaye hajulikani kwa jina.


==Mada==
==Mada==

Yeye anakabili masuala ya [[maisha]] kwa kuzingatia upande chanya na upande hasi wa kila moja ili kufikia [[hekima]].
Yeye anakabili masuala ya [[maisha]] kwa kuzingatia upande chanya na upande hasi wa kila moja ili kufikia [[hekima]].


Mstari 16: Mstari 16:


==Ufafanuzi==
==Ufafanuzi==

Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].


Mstari 22: Mstari 21:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Eccles/ Kitabu cha Mhubiri katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]

[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Eccles/ Kitabu cha Mhubiri katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]


{{Biblia AK}}
{{Biblia AK}}

Pitio la 13:52, 2 Oktoba 2017

Mhubiri (pia: Koheleti) ni kimojawapo kati ya vitabu cha hekima vilivyomo katika Tanakh (Biblia ya Kiebrania) na hivyo pia katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo. Kwa sababu hiyo kilidhaniwa kimeandikwa na mfalme Solomoni, kielelezo cha hekima katika Biblia.

Kitabu hicho kina sura kumi na mbili na kwa kiasi kikubwa kimeandikwa kwa njia ya ushairi.

Jina

Katika lugha ya Kiebrania jina lake ni קֹהֶלֶת (Qohelet), maana yake "Mhadhiri": ndivyo anavyojiita mwandishi, ambaye hajulikani kwa jina.

Mada

Yeye anakabili masuala ya maisha kwa kuzingatia upande chanya na upande hasi wa kila moja ili kufikia hekima.

Hasa anajiuliza juu ya maana ya maadili wakati ufunuo wa Mungu ulikuwa haujafikia hatua ya kufundisha uzima wa milele na maisha yalikuwa yanaonyesha mara nyingi ustawi wa waovu na hali ngumu ya waadilifu.

Mbele ya utovu wa haki duniani, Mhubiri alikariri, "Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili" (1:2).

Hata hivyo, hatimaye akajumlisha mawazo yake kwa kuhimiza kwa imani, "Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya" (12:13-14).

Ufafanuzi

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Maendeleo hayo yataweka wazi kwamba hukumu itafanyika baada ya kifo, na kwamba tuzo na [[]]adhabu vitatolewa kwa haki katika uzima wa milele.

Viungo vya nje

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki

Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.