Chupa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Becherovka bottle.jpg|thumb|Chupa yenye kioo]]
[[Picha:Becherovka bottle.jpg|thumb|Chupa ya kioo.]]
'''Chupa''' ni [[chombo]] chembamba na kirefu kilichotengenezwa kwa [[kioo]] (siku hizi [[plastiki]] pia) ambacho hutumiwa kuwekea [[kimiminika]].
'''Chupa''' ni [[chombo]] kinachotumika kubeba [[maji]].Chupa inaweza kuwa na [[ukubwa]] tofauti.Kwa kawaida chupa inaweza kutengenezwa kwa [[plastiki]] au [[kioo]].Kwa kawaida, [[chupa za bia]] hutengenezwa kwa kioo, na [[vinywaji]] vyenye [[laini]]<nowiki/>hutengenezwa kwa plastiki.

Kwa kawaida, chupa za [[bia]] hutengenezwa kwa kioo, na [[vinywaji]] visivyo na [[kileo]] hutengenezwa kwa plastiki.

{{mbegu-utamaduni}}

[[Jamii:Vifaa]]

Pitio la 13:53, 1 Oktoba 2017

Chupa ya kioo.

Chupa ni chombo chembamba na kirefu kilichotengenezwa kwa kioo (siku hizi plastiki pia) ambacho hutumiwa kuwekea kimiminika.

Kwa kawaida, chupa za bia hutengenezwa kwa kioo, na vinywaji visivyo na kileo hutengenezwa kwa plastiki.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chupa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.