Vigano : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Vigano''' ni hadithi fupifupi zinazosimuliwa kwa lengo la kueleza makosa au maovu ya watu fulani ili kutoa maadili mema yanayofaa kwa wanajamii. Masimulizi y...'
 
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 2: Mstari 2:
Kwa kawaida vigano hujengwa juu ya tukio (kisa kimoja) moja ambalo hutumiwa kuelezea maisha halisi ya jamii husika.
Kwa kawaida vigano hujengwa juu ya tukio (kisa kimoja) moja ambalo hutumiwa kuelezea maisha halisi ya jamii husika.
==Tazama pia==
==Tazama pia==
*[[Fasihi simulizi]]

[[Jamii:Fasihi]]
[[Jamii:Sanaa]]

Pitio la 19:34, 28 Septemba 2017

Vigano ni hadithi fupifupi zinazosimuliwa kwa lengo la kueleza makosa au maovu ya watu fulani ili kutoa maadili mema yanayofaa kwa wanajamii. Masimulizi ya vigano mara nyingi hutumia methali kama msingi wake wa maadili. Methali hiyo ndiyo hujengewa masimulizi yanayolenga kumwonya mwanajamii anayetenda kinyume na maadili ya jamii yake. Kwa kawaida vigano hujengwa juu ya tukio (kisa kimoja) moja ambalo hutumiwa kuelezea maisha halisi ya jamii husika.

Tazama pia