Tofauti kati ya marekesbisho "Kaizari Joseph II"

Jump to navigation Jump to search
1,203 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q442160)
No edit summary
'''Joseph II''' ([[13 Machi]] [[1741]] – [[20 Februari]] [[1790]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Ujerumani]] kuanzia [[1765]] hadi [[kifo]] chake. Alimfuata [[baba]] yake, [[Kaizari Francis I|Francis I]], na kufuatiwakufuatwa na mdogo wake, [[Kaizari Leopold II|Leopold II]].
 
[[Sera]] zake katika [[utawala]] [[Austria]] peke yake miaka [[1780]]-[[1790]] zimeitwa ''Ujosefu'' (au ''Josefini''). Sera hizo zilifuata [[falsafa ya mwangaza]] na kuingilia na kubana [[mamlaka]] ya [[Kanisa]] katika mambo mengi, hata madogo sana.
 
Kwa sababu hiyo alilaumiwa vikali na [[Kanisa Katoliki]] na kuhusianishwa na tapo la [[Wamasoni]].
 
Pamoja na hilo, alipatwa na upinzani mkubwa, na hatimaye alifuta baadhi ya maamuzi yake.
 
Alipokufa, [[Kaizari Leopold II|Leopoldo II]] alizidi kurudisha mambo yalivyokuwa awali na kujali [[hisia]] za wananchi.
 
==Marejeo==
* {{Citation |last=Berenger |first=Jean |title=A History of the Habsburg Empire, 1700-1918 |location=Edinburgh |publisher=Addison Wesley |year=1990}}
* {{Citation |last=Ingrao |first=Charles W. |title=The Habsburg Monarchy, 1618-1815 |location=New York |publisher=Cambridge University Press|year=2000}}
* {{Citation |last=Kann |first=Robert |title=A History of the Habsburg Empire, 1526-1918 |publisher=University of California P |location=Los Angeles |year= 1974}}
* {{Citation |last=Okey |first=Robin |title=The Habsburg Monarchy c. 1765-1918 |location=New York |publisher=Palgrave MacMillan |year=2002}}
 
{{Mbegu-Kaizari-Ujerumani}}

Urambazaji