Nidhamu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Nidhamu''' ni [[wazo]] jema kwenye [[familia]], [[jeshi]] hata kwenye [[fundisho|mafundisho]]. Kufanya mtoto kuwa na nidhamu ni kwa kumuadhibu [[mtoto]] pindi anapoonesha [[tabia]] mbaya.
'''Nidhamu''' ni [[adabu]] njema kwenye [[familia]], [[jeshi]], hata kwenye [[shule]]. [[Mtu]] mwenye nidhamu ni mtu ambaye anafanya kinachotakiwa kufanywa ili kufikia malengo yake na ya [[jamii]].


Kufanya [[mtoto]] kuwa na nidhamu pengine ni kwa kumuadhibu pindi anapoonesha [[tabia]] mbaya. Kuchapa kulichukuliwa kama aina ya nidhamu.
Kuchapa ilichukuliwa kama aina ya nidhamu, nidhamu binafsi ni kusimamia matendo yako mwenyewe.


Hata hivyo muhimu zaidi ni nidhamu binafsi, ambayo ni kusimamia matendo yako mwenyewe.
Nidhamu ya kijeshi inafundisha watu kuheshimu [[sheria]] na [[amri]],mwanajeshi mwenye nidhamu ni mtu ambaye anaweza kutenda hata akiogopa [[maisha]] yake. Mtu mwenye nidhamu ni mtu ambaye anafanya kinachotakiwa kufanywa ili kufikia malengo yake.

Nidhamu ya kijeshi inafundisha watu kuheshimu [[sheria]] na [[amri]]. [[Mwanajeshi]] mwenye nidhamu ni mtu ambaye anaweza kutenda hata akiogopa kwa [[maisha]] yake.

{{mbegu-utamaduni}}

[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Malezi]]

Pitio la 13:03, 22 Septemba 2017

Nidhamu ni adabu njema kwenye familia, jeshi, hata kwenye shule. Mtu mwenye nidhamu ni mtu ambaye anafanya kinachotakiwa kufanywa ili kufikia malengo yake na ya jamii.

Kufanya mtoto kuwa na nidhamu pengine ni kwa kumuadhibu pindi anapoonesha tabia mbaya. Kuchapa kulichukuliwa kama aina ya nidhamu.

Hata hivyo muhimu zaidi ni nidhamu binafsi, ambayo ni kusimamia matendo yako mwenyewe.

Nidhamu ya kijeshi inafundisha watu kuheshimu sheria na amri. Mwanajeshi mwenye nidhamu ni mtu ambaye anaweza kutenda hata akiogopa kwa maisha yake.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nidhamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.