Nidhamu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Nidhamu''' ni [[wazo]] jema kwenye [[familia]], [[jeshi]] hata kwenye [[fundisho|mafundisho]].kufanya mtoto kuwa na nidhamu ni kwa kuadhibu [[mtoto]] pindi anapoonesha [[tabia]] mbaya.
'''Nidhamu''' ni [[wazo]] jema kwenye [[familia]], [[jeshi]] hata kwenye [[fundisho|mafundisho]]. Kufanya mtoto kuwa na nidhamu ni kwa kumuadhibu [[mtoto]] pindi anapoonesha [[tabia]] mbaya.

Kuchapa ilichukuliwa kama aina ya nidhamu, nidhamu binafsi ni kusimamia matendo yako mwenyewe.
Kuchapa ilichukuliwa kama aina ya nidhamu, nidhamu binafsi ni kusimamia matendo yako mwenyewe.

Pitio la 12:58, 22 Septemba 2017

Nidhamu ni wazo jema kwenye familia, jeshi hata kwenye mafundisho. Kufanya mtoto kuwa na nidhamu ni kwa kumuadhibu mtoto pindi anapoonesha tabia mbaya.

Kuchapa ilichukuliwa kama aina ya nidhamu, nidhamu binafsi ni kusimamia matendo yako mwenyewe.

Nidhamu ya kijeshi inafundisha watu kuheshimu sheria na amri,mwanajeshi mwenye nidhamu ni mtu ambaye anaweza kutenda hata akiogopa maisha yake. Mtu mwenye nidhamu ni mtu ambaye anafanya kinachotakiwa kufanywa ili kufikia malengo yake.