Go-Mizunoo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+picha
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Go-Mizunoo2.jpg|right|thumb|Mchoro wa Go-Mizunoo]]
[[Picha:Emperor_Go-Mizunoo2.jpg|right|thumb|Mchoro wa Go-Mizunoo]]
'''Go-Mizunoo''' ([[29 Juni]] [[1596]] – [[11 Septemba]] [[1680]]) alikuwa mfalme mkuu wa 108 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Masahito''. Mwaka wa [[1611]] alimfuata [[Go-Yozei]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[22 Desemba]] [[1629]]. Aliyemfuata ni binti wake, [[Meisho]].

==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]

{{Mbegu-Kaizari-Japani}}
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}

Toleo la sasa la 13:55, 20 Septemba 2017

Mchoro wa Go-Mizunoo

Go-Mizunoo (29 Juni 159611 Septemba 1680) alikuwa mfalme mkuu wa 108 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Masahito. Mwaka wa 1611 alimfuata Go-Yozei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 22 Desemba 1629. Aliyemfuata ni binti wake, Meisho.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Mizunoo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.