76,325
edits
(Picha mpya na masahihisho) |
|||
== Binadamu kadiri ya sayansi ==
[[Sayansi|Kisayansi]] jina hilo linaweza kutumika kwa maana ya
▲[[Sayansi|Kisayansi]] jina hilo linaweza kutumika kwa maana ya '''''Homo sapiens''''' ili kumtofautisha na viumbe wengine wa [[jenasi]] [[Homo]] ambao wote walitoweka walau miaka 12,000 hivi iliyopita.
Watu wote walioko leo hii ni [[spishi]] ileile na tofauti zinazoonekana kati ya maumbile yao katika sehemu mbalimbali za dunia ni kidogo tu.
== Uenezi wa binadamu ==
Kutoka bara la Asia, watu walienea kwanza [[Australia]] na [[Ulaya]], halafu [[Amerika]] toka kaskazini hadi kusini.
== Upekee wake ==
Ingawa binadamu ana undugu mkubwa wa kibiolojia na [[sokwe]] na viumbe vingine, ustawi wake hauna mfano, kiasi cha kufanya wengi waamini tofauti iliyopo inadai kuelezwa kwa uwemo wa [[roho]] ndani ya [[mwili]] wake; roho ambayo [[dini]] hizo [[imani|zinasadiki]] imetiwa na [[Mungu]] moja kwa moja.
== Binadamu kadiri ya Biblia ==
Kadiri ya [[Biblia]],
Ameshirikishwa naye ukuu juu ya viumbe vyote vinavyoonekana.
== Binadamu na elimunafsia ==
[[Karne XX]] imeleta [[maendeleo]] makubwa katika [[elimunafsia]] (= [[saikolojia]]). Hivyo anaweza kutambua vizuri mema na mabaya yaliyomo ndani mwake.
Mara kwa mara ajitenge na watu na shughuli ili kutathmini tena maisha yake, kupima [[maono]] yake na kuweka maazimio ya kufaa, bila ya kusahau kwamba [[uhai]] wake ni [[fumbo]], kwa kuwa unamtegemea Mungu.
==Tazama pia==
* [[Mtu wa kwanza alitoka wapi]]
==Tanbihi==
{{marejeo}}
==Viungo vya nje==
* [http://binadamu.net]
{{Sokwe}}
|