Sayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Justus Sustermans - Portrait of Galileo Galilei, 1636.jpg|220px|thumb|upright|[[Galileo Galilei]], baba wa sayansi.<ref>{{Cite journal|title=Galileo and the Birth of Modern Science|journal=American Heritage of Invention and Technology|volume=24}}</ref>{{rp| Vol. 24, No. 1, p. 36}}]]
[[File:Justus Sustermans - Portrait of Galileo Galilei, 1636.jpg|220px|thumb|upright|[[Galileo Galilei]], baba wa sayansi ya kisasa.<ref>{{Cite journal|title=Galileo and the Birth of Modern Science|journal=American Heritage of Invention and Technology|volume=24}}</ref>{{rp| Vol. 24, No. 1, p. 36}}]]
'''Sayansi''' ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa.
'''Sayansi''' ni [[maarifa]] yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainishwa hazijathibitishwa.


Mara nyingi [[Galileo Galilei]] anahesabiwa kuwa [[baba]] wa sayansi ya kisasa.
Mara nyingi [[Galileo Galilei]] anahesabiwa kuwa [[baba]] wa sayansi ya kisasa.


==Aina za Sayansi==
==Aina za sayansi==
[[Picha:Astronaut-EVA.jpg|thumb|right|300px|Mtu aliyerushwa hadi angani. Kufikia katikati ya [[Karne ya 20]] binadamu ameweza kukua kisayansi na hivyo kuvumbua [[teknolojia]] zilizomwezesha kuruka na kuelea anga za juu kabisa za [[Dunia]] kwa mara ya kwanza na [[Uchunguzi wa Spezi|kuchunguza spezi]].]]
[[Picha:Astronaut-EVA.jpg|thumb|right|250px|Mtu aliyerushwa hadi angani. Kufikia katikati ya [[karne ya 20]] [[binadamu]] ameweza kukua kisayansi na hivyo kuvumbua [[teknolojia]] zilizomwezesha kuruka na kuelea anga za juu kabisa za [[Dunia]] kwa mara ya kwanza na kuchunguza [[Anga la nje]].]]


Kuna sayansi mbalimbali ambazo huainishwa katika:
Kuna sayansi mbalimbali ambazo huainishwa katika makundi yafuatayo:


'''Sayansi Asili''' k.m.
'''Sayansi Asili''' k.m.
Mstari 20: Mstari 20:


'''Sayansi Jamii''' k.m.
'''Sayansi Jamii''' k.m.
* [[Arkiolojia]]
* [[Akiolojia]]
* [[Elimu]]
* [[Elimu]]
* [[Saikolojia]]
* [[Saikolojia]]
Mstari 29: Mstari 29:
* [[Uhandisi]]
* [[Uhandisi]]


Pia, kuna sayansi zinahusu mada mbalimbali:
Pia, kuna sayansi zinazohusu mada mbalimbali:
* [[Maarifa]]
* [[Maarifa]]
* [[Unajimu]]
* [[Unajimu]]
* [[Tiba]]
* [[Tiba]]


==Metodi za Kisayansi==
==Mbinu za kisayansi==
[[Picha:Charles Darwin seated crop.jpg|thumb|right|Charles Darwin mwaka 1854, alipokuwa anatunga kitabu chake [[On the Origin of Species]].]]
[[Picha:Charles Darwin seated crop.jpg|thumb|right|[[Charles Darwin]] [[mwaka]] [[1854]], alipokuwa anatunga [[kitabu]] chake "[[On the Origin of Species]]".]]
Msingi wa sayansi ni vitendo.
Msingi wa sayansi ni vitendo. Vitendo vya kisayansi vina njia zake zinazotumika kuthibitisha kweli za kisayansi.


Namna ya kueleza jambo kisayansi huchimbuka toka [[nadharia]] ama udhanifu. Halafu, ili kweli ikubalike, hutoka kwenye udhanifu na kwa kupitia [[Jaribio|majaribio]] rasmi, hutengeneza [[dhana]] kamili ama nadharia kama ni shauri la kueleza mwenendo na tabia.
Vitendo vya kisayansi vina njia zake zinazotumikia kusimamisha kweli ya kisayansi.


Kwa hivyo, [[asili]] ya njia ya kisayansi ni [[mtazamo]] unaokwenda sambamba na vitendo vinavyochunguzwa. Kutoka mitazamo [[wanasayansi]] wanaunda nadharia. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Isipokuwa kweli watakanusha nadharia hiyo. Ikionekana kwamba mara nyingi sana nadharia ilibashiri [[ukweli]], na haijakosea, itakuwa nadharia inayokubalika.
Namna ya kueleza jambo kisayansi huchimbuka toka Nadharia ama Udhanifu. Halafu tena ili Kweli ikubalike; hutoka kwenye udhanifu; kwa kupitia kupitia majaribio rasmi, hutengeneza dhana kamili ama nadharia kama ni shauri la kueleza mwenendo na tabia.

Kwa hivyo, asili ya njia ya kisayansi ni [[mtazamo]] unaokwenda sambamba na vitendo vinavyochunguzwa. Kutoka mitazamo wanasayansi wanaumba [[nadharia]]. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Isipokuwa kweli watakanusha nadharia hii. Ikionekana kwamba mara nyingi sana nadharia ilibashiri ukweli, na haijakosea, itakuwa ni nadharia inayokubalika.


==Sura ya kisayansi==
==Sura ya kisayansi==
Mara chache, maarifa yatokanayo na sayansi yanaweza kuwa pingifu ya Hali ya kawaida. Kwa mfano nadharia ya [[atomu]] inasema kwamba katika Jiwe ([[Maada Yabisi]]) kuna uvungu ( [[dutu tupu]]), na kwamba atomi zinacheza katika nafasi ndogo katika jiwe ukifananisha na [[maada kimiminika]]. Lakini kwa nadharia hii tunaweza kueleza mambo mengi, hata kwa nini tunaweza kusema kwamba jiwe halina uvungu.
Mara chache, maarifa yatokanayo na sayansi yanaweza kupinga hali ya kawaida. Kwa mfano nadharia ya [[atomu]] inasema kwamba katika [[jiwe]] ([[Maada Yabisi]]) kuna [[uvungu]] ([dutu tupu]]), na kwamba atomi zinacheza katika nafasi ndogo katika jiwe ukifananisha na [[maada kimiminika]]. Lakini kwa nadharia hii tunaweza kueleza mambo mengi, hata kwa nini tunaweza kusema kwamba jiwe halina uvungu.


==Historia==
==Historia==
[[image:Aristotle Altemps Inv8575.jpg|thumb|[[Aristotle]] ([[384 KK]][[322 KK]]) alichangia katika ukuaji wa sayansi.]]
[[File:Pangea animation 03.gif|thumb|300px|Picha ya dunia ikionyesha kutokea kwa mabara kutoka kugawanyika kwa [[Pangea]] mpaka hivi leo.]]
=== Sura ya kiutamaduni ===
=== Sura ya kiutamaduni ===
Sayansi iliaanza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja; lakini kadri maarifa yanavyopanuka, inakuwa vigumu kwa mtu mmoja kufanya mchango wakujitenga. Hivyo jumuiya zimebeba kusudi ambalo hapo mwanzo ilionekana kama ni shauku la mtu mmoja mmoja kama awali.
Sayansi iliaanza kama [[udadisi]] wa mtu mmojammoja; lakini kadiri maarifa yanavyopanuka, inakuwa vigumu kwa mtu mmoja kufanya mchango wa kujitenga. Hivyo [[jumuiya]] zimebeba kusudi ambalo hapo mwanzo lilionekana kama ni shauku la mtu mmojammoja kama awali.
Aristotle, 384 BC – 322 BC - alichangia katika ukuaji wa sayansi.]]


Hii hufanya mkururo wa ugunduzi ama uvumbuzi kuwa ni sehemu ya historia ya Sayansi. Majina na sifa kutajwa sambamba na shauri la aliyepelekea.
Hii hufanya mkururo wa [[ugunduzi]] ama [[uvumbuzi]] kuwa sehemu ya [[historia ya sayansi]]. [[Jina|Majina]] na sifa kutajwa sambamba na shauri la aliyepelekea.


Sayansi na jamii huenda pamoja katika kuleta mabadiliko, kwa kuwa mabadiliko huletwa na watu wenyewe.
Sayansi na [[jamii]] huenda pamoja katika kuleta mabadiliko, kwa kuwa mabadiliko huletwa na watu wenyewe.


=== Sayansi na siasa za dunia ===
=== Sayansi na siasa za dunia ===
[[File:Pangea animation 03.gif|thumb|300px|Picha ya dunia ikionyesha kutokea kwa [[mabara]] kutoka kugawanyika kwa [[Pangea]] mpaka hivi leo.]]
Katika dunia hii ya leo, maendeleo ya watu hujidhihirisha sana kutokana na jinsi jamii husika ilivyopiga teke katika uwanja huu.
Katika dunia hii ya leo, [[maendeleo]] ya watu hujidhihirisha sana kutokana na jinsi jamii husika ilivyopiga teke katika uwanja huu.


Ingawaje haibanishwi wazi miongoni mwa sura ya mambo ya kidunia, sayansi kwa kweli ni nguvu inayoweza kubadili maisha ya watu kwa wema; lakini katika kilele chake cha mafanikio, vyombo vyenye nguvu kimamlaka na fedha hushikilia baadhi ya matunda yake katika hali ya kibiashara na kiutawala zaidi.
Ingawaje haibainishwi wazi miongoni mwa sura ya mambo ya kidunia, sayansi kwa kweli ni [[nguvu]] inayoweza kubadili [[maisha]] ya watu kwa wema; lakini katika [[kilele]] chake cha mafanikio, vyombo vyenye nguvu za [[mamlaka]] na [[fedha]] hushikilia baadhi ya [[matunda]] yake katika hali ya [[Biashara|kibiashara]] na [[Utawala|kiutawala]] zaidi.


=== Sayansi na maendeleo ===
=== Sayansi na maendeleo ===
Wapo watu pia ambao hutumia sayansi kujaribu kuboresha maisha ya watu wote kwa ujumla. Hivyo sayansi haibakii tu kuwa mikononi mwa wenye kushika dau kimifumo, bali changamoto ya wote wenye kutaka kuleta maendeleo ya ujumla.
[[File:Candle-light-animated.gif||thumb|left|upright=0.80|Mambo mbalimbali ya kikemikali yaliyosomwa na [[Michael Faraday]] na kuripotiwa katika historia yake kabla ya [[mamlaka ya kisheria]]: ''[[Historia ya kikemikali ya mshumaa]]'', mwaka [[1861]].]]
[[File:Candle-light-animated.gif||thumb|left|upright=0.80|Mambo mbalimbali ya kikemikali yaliyosomwa na [[Michael Faraday]] na kuripotiwa katika historia yake kabla ya [[mamlaka ya kisheria]]: ''[[Historia ya kikemikali ya mshumaa]]'', mwaka [[1861]].]]
Wapo watu pia ambao hutumia sayansi kujaribu kuboresha maisha ya watu wote kwa ujumla. Hivyo sayansi haibakii tu [[Mikono|mikononi]] mwa wenye kushika dau kimifumo, bali changamoto ya wote wenye kutaka kuleta maendeleo ya ujumla.


Na hivyo roho ya uchunguzi ndiYo iliyoleta kuzaliwa, kukua na kutapakaa kwa sayansi.
Hivyo roho ya uchunguzi ndiyo iliyoleta kuzaliwa, kukua na kutapakaa kwa sayansi.


==Tanbihi==
{{reflist}}
{{Lango|Sayansi}}
{{Lango|Sayansi}}
{{Sayansi}}
{{Sayansi}}

Pitio la 10:26, 18 Septemba 2017

Galileo Galilei, baba wa sayansi ya kisasa.[1]: Vol. 24, No. 1, p. 36

Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainishwa hazijathibitishwa.

Mara nyingi Galileo Galilei anahesabiwa kuwa baba wa sayansi ya kisasa.

Aina za sayansi

Mtu aliyerushwa hadi angani. Kufikia katikati ya karne ya 20 binadamu ameweza kukua kisayansi na hivyo kuvumbua teknolojia zilizomwezesha kuruka na kuelea anga za juu kabisa za Dunia kwa mara ya kwanza na kuchunguza Anga la nje.

Kuna sayansi mbalimbali ambazo huainishwa katika makundi yafuatayo:

Sayansi Asili k.m.

Sayansi Umbile k.m.

Sayansi Jamii k.m.

Sayansi Tumizi k.m.

Pia, kuna sayansi zinazohusu mada mbalimbali:

Mbinu za kisayansi

Charles Darwin mwaka 1854, alipokuwa anatunga kitabu chake "On the Origin of Species".

Msingi wa sayansi ni vitendo. Vitendo vya kisayansi vina njia zake zinazotumika kuthibitisha kweli za kisayansi.

Namna ya kueleza jambo kisayansi huchimbuka toka nadharia ama udhanifu. Halafu, ili kweli ikubalike, hutoka kwenye udhanifu na kwa kupitia majaribio rasmi, hutengeneza dhana kamili ama nadharia kama ni shauri la kueleza mwenendo na tabia.

Kwa hivyo, asili ya njia ya kisayansi ni mtazamo unaokwenda sambamba na vitendo vinavyochunguzwa. Kutoka mitazamo wanasayansi wanaunda nadharia. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Isipokuwa kweli watakanusha nadharia hiyo. Ikionekana kwamba mara nyingi sana nadharia ilibashiri ukweli, na haijakosea, itakuwa nadharia inayokubalika.

Sura ya kisayansi

Mara chache, maarifa yatokanayo na sayansi yanaweza kupinga hali ya kawaida. Kwa mfano nadharia ya atomu inasema kwamba katika jiwe (Maada Yabisi) kuna uvungu ([dutu tupu]]), na kwamba atomi zinacheza katika nafasi ndogo katika jiwe ukifananisha na maada kimiminika. Lakini kwa nadharia hii tunaweza kueleza mambo mengi, hata kwa nini tunaweza kusema kwamba jiwe halina uvungu.

Historia

Aristotle (384 KK322 KK) alichangia katika ukuaji wa sayansi.

Sura ya kiutamaduni

Sayansi iliaanza kama udadisi wa mtu mmojammoja; lakini kadiri maarifa yanavyopanuka, inakuwa vigumu kwa mtu mmoja kufanya mchango wa kujitenga. Hivyo jumuiya zimebeba kusudi ambalo hapo mwanzo lilionekana kama ni shauku la mtu mmojammoja kama awali.

Hii hufanya mkururo wa ugunduzi ama uvumbuzi kuwa sehemu ya historia ya sayansi. Majina na sifa kutajwa sambamba na shauri la aliyepelekea.

Sayansi na jamii huenda pamoja katika kuleta mabadiliko, kwa kuwa mabadiliko huletwa na watu wenyewe.

Sayansi na siasa za dunia

Picha ya dunia ikionyesha kutokea kwa mabara kutoka kugawanyika kwa Pangea mpaka hivi leo.

Katika dunia hii ya leo, maendeleo ya watu hujidhihirisha sana kutokana na jinsi jamii husika ilivyopiga teke katika uwanja huu.

Ingawaje haibainishwi wazi miongoni mwa sura ya mambo ya kidunia, sayansi kwa kweli ni nguvu inayoweza kubadili maisha ya watu kwa wema; lakini katika kilele chake cha mafanikio, vyombo vyenye nguvu za mamlaka na fedha hushikilia baadhi ya matunda yake katika hali ya kibiashara na kiutawala zaidi.

Sayansi na maendeleo

Mambo mbalimbali ya kikemikali yaliyosomwa na Michael Faraday na kuripotiwa katika historia yake kabla ya mamlaka ya kisheria: Historia ya kikemikali ya mshumaa, mwaka 1861.

Wapo watu pia ambao hutumia sayansi kujaribu kuboresha maisha ya watu wote kwa ujumla. Hivyo sayansi haibakii tu mikononi mwa wenye kushika dau kimifumo, bali changamoto ya wote wenye kutaka kuleta maendeleo ya ujumla.

Hivyo roho ya uchunguzi ndiyo iliyoleta kuzaliwa, kukua na kutapakaa kwa sayansi.

Tanbihi

  1. "Galileo and the Birth of Modern Science". American Heritage of Invention and Technology 24. 
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sayansi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.