Basi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Minibus in Novoaltaisk 02.JPG|thumb|basi dogo huko Novoaltaisk]]
[[Picha:Minibus in Novoaltaisk 02.JPG|thumb|Basi dogo huko Novoaltaisk.]]
'''Basi''' ni chombo cha [[usafiri]] kinacho tumika kusafirisha [[watu]] kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwaajili ya shughuli mbalimbali mfano za [[kikazi]],[[kimasomo]],[[kiutafiti]] na kadhrika.vyombo hivi vipo vya aina mbalimbali mfano kuna [[mabasi]] madogo yanayobeba [[abiria]] wachache na kusafiri umbali wa kawaida na pia kuna [[mabasi]] makubwa yenyekubeba [[watu]] wengi kuanzia [[watu]] [[hamsini]] na kuendelea na [[mabasi]] haya usafiri umbali mrefu yanaweza kusafiri kutoka [[nchi]] moja kwenda [[nchi]] nyingine bila kumpumzishwa.katika [[dunua]] ya sasa [[mabasi]] yanatumika sana kati shughuli mbalimbali mfano shughuli za [[kiuchumi]] kwa kusafirisha [[wafanyakazi]] na [[wafanyabiashara]] katika [[nchi]] mbalimbali, kwa msaada wa vyombo hivi [[watu]] wanaweza kufika sehemu nyingi kwa wakati na [[kazi]] zao kwa wakati hali hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kukuza uchumi wa [[nchi]] nyingi [[duniani]]
'''Basi''' (kutoka Kiingereza "bus") ni chombo cha [[usafiri]] kinachotumika kusafirisha [[watu]] kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwa ajili ya shughuli mbalimbali, kwa mfano [[kazi]], [[masomo]], [[utafiti]] na kadhalika.
Vyombo hivi vipo vya aina mbalimbali, kwa mfano kuna mabasi madogo yanayobeba [[abiria]] wachache na kusafiri [[umbali]] wa kawaida, pia kuna mabasi makubwa yenye kubeba [[watu]] wengi kuanzia [[hamsini]] na kuendelea na [[mabasi]] hayo husafiri umbali mrefu: yanaweza kusafiri kutoka [[nchi]] moja kwenda [[nchi]] nyingine bila kumpumzishwa.
Katika [[dunia]] ya sasa mabasi yanatumika sana katika shughuli mbalimbali, kwa mfano shughuli za kiuchumi kwa kusafirisha [[wafanyakazi]] na [[wafanyabiashara]] katika [[nchi]] mbalimbali.
Kwa msaada wa vyombo hivyo [[watu]] wanaweza kufika sehemu nyingi kwa wakati na kwenye [[kazi]] zao kwa wakati; hali hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kukuza [[uchumi]] wa [[nchi]] nyingi [[duniani]].

{{tech-stub}}

[[Jamii:Usafiri]]

Pitio la 12:55, 17 Septemba 2017

Basi dogo huko Novoaltaisk.

Basi (kutoka Kiingereza "bus") ni chombo cha usafiri kinachotumika kusafirisha watu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwa ajili ya shughuli mbalimbali, kwa mfano kazi, masomo, utafiti na kadhalika.

Vyombo hivi vipo vya aina mbalimbali, kwa mfano kuna mabasi madogo yanayobeba abiria wachache na kusafiri umbali wa kawaida, pia kuna mabasi makubwa yenye kubeba watu wengi kuanzia hamsini na kuendelea na mabasi hayo husafiri umbali mrefu: yanaweza kusafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine bila kumpumzishwa.

Katika dunia ya sasa mabasi yanatumika sana katika shughuli mbalimbali, kwa mfano shughuli za kiuchumi kwa kusafirisha wafanyakazi na wafanyabiashara katika nchi mbalimbali.

Kwa msaada wa vyombo hivyo watu wanaweza kufika sehemu nyingi kwa wakati na kwenye kazi zao kwa wakati; hali hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kukuza uchumi wa nchi nyingi duniani.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.