Wanyama wa nyumbani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Zubron2.jpg|thumb|[[Ng'ombe]] aina ya Żubroń.]]
[[File:Zubron2.jpg|thumb|[[Ng'ombe]] aina ya Żubroń.]]
[[Picha:Marans hen.jpg|thumb|mifugo ya nyumbani]]
'''Wanyama wa nyumbani''' au '''wanyama-kaya''' au '''mifugo''' (kutoka [[kitenzi]] "kufuga") ni wale [[wanyama]] ambao huishi katika [[mazingira]] ambayo [[mwanadamu]] anaishi. Wanyama hao wanatunzwa kwa uangalizi wa binadamu kwa ajili ya [[ulinzi]], [[michezo]], [[kazi]], [[pambo]] na majaribio ya [[maabara]].
'''Wanyama wa nyumbani''' au '''wanyama-kaya''' au '''mifugo''' (kutoka [[kitenzi]] "kufuga") ni wale [[wanyama]] ambao huishi katika [[mazingira]] ambayo [[mwanadamu]] anaishi. Wanyama hao wanatunzwa kwa uangalizi wa binadamu kwa ajili ya [[ulinzi]], [[michezo]], [[kazi]], [[pambo]] na majaribio ya [[maabara]].



Pitio la 14:09, 16 Septemba 2017

Ng'ombe aina ya Żubroń.
mifugo ya nyumbani

Wanyama wa nyumbani au wanyama-kaya au mifugo (kutoka kitenzi "kufuga") ni wale wanyama ambao huishi katika mazingira ambayo mwanadamu anaishi. Wanyama hao wanatunzwa kwa uangalizi wa binadamu kwa ajili ya ulinzi, michezo, kazi, pambo na majaribio ya maabara.

Tangu milenia kadhaa wanyama hao wamepatana na wanadamu, nao ni kama vile mbwa, mbuzi, nguruwe, kondoo, ng'ombe, paka, kuku, punda, bata, nyuki, ngamia, farasi, njiwa, kware na wengine wengi.

Wanyama hao wana faida katika maisha ya wanadamu; kwa mfano ng'ombe hupatia watu maziwa, nyama, pia ngozi yake inaweza kutumika kutengeneea vitu mbalimbali.

Mbwa husaidia hasa katika suala la ulinzi katika mazingira yanayomzunguka mwanadamu.

Mbuzi huwapatia watu nyama, maziwa ila si mazuri kama yale ya ng'ombe na pia ngozi yake hutumika kutengenezea vitu kama vile ngoma, hasa katika jamii za Afrika.

Kware ni ndege mdogo; mayai yake ni madogo sana yana faida kubwa katika mwili wa mwanadamu kwa sababu yanasemekena kutibu baadhi ya magonjwa katika miili yetu.

Wanyama hao hutoa pia faida za kihisia kama mazoezi, mahusiano ya kijamii na n.k. Wanyama hawa huondoa upweke kwa watu wasiokuwa na marafiki au mahusiano ya kijamii kama wazee, watoto, wajawazito. Wanyama wengine huwatembelea wagonjwa.

Wanyama hawa hufundiswa jinsi ya kufanya vitu vya kisayansi, kwa kulenga wagonjwa.

Hivyo tunaweza kuona faida za wanyama hao: ni vizuri tukiwatunza vizuri kwani tunawategemea katika shughuli mbalimbali za kijamii na za kiuchumi.

1. Wanyama hawatakiwi kupigwa. 2. Wanyama wanatakiwa waangaliwe afya zao. 3. Wanyama wanatakiwa kupata mahitaji yao.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyama wa nyumbani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.