Wafanyakazi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Wafanyakazi''' ni [[watu]] waliojiajiri au walioajiriwa ili kufanya [[kazi]] fulani kwa ufanisi.
'''Wafanyakazi''' (kwa [[Kiingereza]] "workers") ni [[watu]] walioajiriwa ili kufanya [[kazi]] fulani kwa ufanisi na hatimaye kupata [[malipo]] kadiri ya makubaliano na [[mwajiri]].

Tukizungumzia wafanyakazi waliojiajiri tunamaanisha wale wafanyakazi ambao wameanzisha [[biashara]] zao wenyewe na zinawalipa wao wenyewe kutokana na [[ununuzi]] wa biashara hizo,


Tukizungumzia wafanyakazi walioajiriwa tunamaanisha wale wafanyakazi ambao wanafanya biashara za kutokana na [[mwongozo]] kutoka kwa [[wakuu]] wao wa kazi.
Tukizungumzia wafanyakazi walioajiriwa tunamaanisha wale wafanyakazi ambao wanafanya biashara za kutokana na [[mwongozo]] kutoka kwa [[wakuu]] wao wa kazi.

Pengine neno hilo linataja wafanyakazi waliojiajiri, yaani wale ambao wameanzisha [[biashara]] zao wenyewe na zinawalipa wao wenyewe kutokana na [[ununuzi]] wa biashara hizo.


{{mbegu-mtu}}
{{mbegu-mtu}}

Pitio la 13:17, 16 Septemba 2017

Wafanyakazi (kwa Kiingereza "workers") ni watu walioajiriwa ili kufanya kazi fulani kwa ufanisi na hatimaye kupata malipo kadiri ya makubaliano na mwajiri.

Tukizungumzia wafanyakazi walioajiriwa tunamaanisha wale wafanyakazi ambao wanafanya biashara za kutokana na mwongozo kutoka kwa wakuu wao wa kazi.

Pengine neno hilo linataja wafanyakazi waliojiajiri, yaani wale ambao wameanzisha biashara zao wenyewe na zinawalipa wao wenyewe kutokana na ununuzi wa biashara hizo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wafanyakazi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.