Tofauti kati ya marekesbisho "Mwangaza unaoonekana"

Jump to navigation Jump to search
5 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
uangavu > Mwangaza
No edit summary
(uangavu > Mwangaza)
'''UangavuMwangaza''' ni tabia ya [[nyota]] inayosaidia kuzitofautisha. Kuna tofauti kati ya '''uangavumwangaza unaoonekana''' na '''uangavumwangaza halisi'''.
 
Umbali kati ya vitu kwenye anga la nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.
 
* '''Uang‘avuMwangaza unaoonekana''' ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. Kadri uang‘avu ni juu namba yake ni ndogo. <ref>Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, ''Astronomy Hacks'' (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88</ref> Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu kenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya Rijili Kantori ( [[:en:Alpha Centauri]]) inaonekana ang‘avu kushinda nyota kubwa zaidi ya Jibuta la Jauza kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.
 
* '''Uang‘avu'Mwangaza halisi''' ni kipimo cha ukali wa nuru jinsi ingeonekana kwa mtazamji aliyeko katika umbali sanifu. Umbali huu ulisanifishwa kuwa miaka ya nuru 32.6<ref name=Laet29>Rony De Laet, ''The Casual Sky Observer's Guide: Stargazing with Binoculars and Small Telescopes'' (New York: Springer, 2012), p. 29</ref><ref> au [[parsec]] 10</ref> Kipimo hiki kinawaruhusu wanaastronomia kulinganisha uang‘avu wa magimba kwa kutumia umbali sanifu.
 
==Kipimo cha magnitudo==
Kwa kutaja kiasi cha uangavumwangaza wanaastronomia hutumia kizio cha "magnitudo" (kifupi mag). Neno hili la [[Kilatini]] linamaanisha "ukubwa". Kadri uangavumwangaza ni mkubwa namba ya magnitudo ni ndogo.
 
Kwa mfano nyota ya [[Sumbula]] ina magnitudo ya +1,04 mag. [[Rijili ya Jabari]] inayojulikana pia kama [[:en:Rigel|Rigel]] ina uanganvu unaoonekana wa +0.12 mag maana yake nuru yake ni kali zaidi.
Kama gimba la anga inang'aa sana ina [[namba hasi]] kwa mfano nyota angavu sana kama [[Shira]] ''(Sirius)'' na [[sayari]] za [[Zuhura]] ''(Venus)'' au [[Mshtarii]] ''(Jupiter)''.
 
Kipimo hakifuati mstari bali vizio vyake vinafuatana kwa hatua za [[logi]]. kwa hiyo ongezeko la uangavumwangaza kutoka kizio kimoja hadi kile kidogo zaidi kinachofuata ni takriban mara 2.5
 
== Historia ya kipimo ==
Chanzo cha vipimo hivi ni kazi ya [[Hipparchos wa Nikaia]] mtaalamu wa [[Ugiriki ya Kale]]. <ref name=Belkora19.20>Leila Belkora, ''Minding the Heavens: The Story of our Discovery of the Milky Way'' (Bristol: Institute of Physics, 2003), pp. 19–20</ref> Aliorodhesha nyota kufuatana na uanganvu akazipanga nyota angavu zaidi kwenye daraja la kwanza, zile zilizonekana hafifu zaidi katika madaraja ya pili, tatu na kadhalika hadi daraja la sita. Orodha yake ilikuwa msingi wa kitabu mashuhuri cha [[Almagest]] cha [[Klaudio Ptolemaio]] kilichoendelea kuwa msingi wa utaalamu wa nyota hadi mwisho wa [[karne za kati]].
 
Baadaye skeli ya kale ilipanushwa pande zote mbili kwa kupokea pia magimba angavu zaidi au hafifu zaidi. Kufuatana na ufafanuzi wa mwaka 1850 ungavu wa nyota ya daraja la kwanza (1.0 mag) ni mara 100 uangavumwangaza wa nyota ya 6.0 mag, na hiyo mara 100 kuliko nyota ya 11.0 mag.
 
== Mifano ya uangavumwangaza unaoonekana na halisi ==
{| class="wikitable" style="margin-left:2em"
|- class=
! Nyota
! UangavuMwangaza <br>unaoonekana <br /> (m)
! UangavuMwangaza<br>halisi<br /> (M)
! Umbali<ref>Umbali katika astronomia mara nyingi hutajwa kwa [[parsec]]; kizio hiki ni sawa na [[miaka ya nuru]] 3.26</ref>
|-

Urambazaji