Huduma ya ujumbe mfupi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Maboresho
Mstari 2: Mstari 2:
'''Huduma ya ujumbe mfupi''' au '''huduma ya ujumbe mfupi wa maandishi''' (kutoka [[Kiing.]] '''SMS''' kwa '''short messaging service''' ) ni aina ya [[mawasiliano]] yanayotumika katika [[simu za mikononi]]. Yanafahamika sana kwa kuitwa "jumbe fupi" au "ujumbe mfupi". Ukiwa na SMS, mtu mmoja anaweza kumtumia mtu mwingine ujumbe wa maandishi.

Matumizi ya mjumbe mfupi yanaenda pole mno, kwa kuwa kikawaida watu wengi hutumia piga sana badala ya kutuma ujumbe mfupi. Vilevile kuna mipaka ya utumaji maandishi yasiyozidi 160.<ref>{{Cite web | url = http://www.bbc.co.uk/webwise/askbruce/articles/mobiles/sms_1.shtml | publisher = BBC | accessdate = 2009-09-02| title = What is SMS?}}</ref> Ukituma ujumbe mrefu zaidi huhesabiwa kama jumbe zaidi ya moja, ambapo mtumiaji atatakiwa alipe zaidi ya ujumbe mmoja.
Matumizi ya ujumbe mfupi yanaenda pole mno, kwa kuwa kikawaida watu wengi hupenda kutumia njia ya kupiga simu ya sauti sana badala ya kutuma ujumbe mfupi. Vilevile kuna mipaka ya utumaji maandishi yasiyozidi 160.<ref>{{Cite web | url = http://www.bbc.co.uk/webwise/askbruce/articles/mobiles/sms_1.shtml | publisher = BBC | accessdate = 2009-09-02| title = What is SMS?}}</ref> Ukituma ujumbe mrefu zaidi huhesabiwa kama jumbe zaidi ya moja, ambapo mtumiaji atatakiwa alipe zaidi ya ujumbe mmoja.

Jumbe fupi hutumwa kwa simu nyingine iwapo simu ya kawaida haikubali au inatumika sana. Ijapokuwa kuna baadhi ya watu wao huwa mahodari wa kutuma jumbe za kawaida. Matumizi ya jumbe fupi, huenda mtu yupo sehemu ambayo ya mkusanyiko wa watu wengi na hawezi kuongea mbele, basi atatumia huduma ya ujumbe mfupi kumfahamisha huyo mtumiaji mwenzake juu ya suala fulani nyeti kwa kutumia huduma hii. Gharama za jumbe itategemea na mtandao unaokupa huduma. Baadhi ya mitandao hutoa jumbe bila kikomo kwa kujiunga na baadhi ya vifurushi wanavyotoa kwa wateja wao.
Jumbe fupi hutumwa kwa simu nyingine iwapo simu ya kawaida haikubali au inatumika sana. Ijapokuwa kuna baadhi ya watu wao huwa mahodari wa kutuma jumbe za kawaida. Matumizi ya jumbe fupi, huenda mtu yupo sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na hawezi kuongea mbele yao, basi atatumia huduma ya ujumbe mfupi kumfahamisha huyo mtumiaji mwenzake juu ya suala fulani nyeti kwa kutumia huduma hii. Gharama za jumbe itategemea na mtandao unaokupa huduma. Baadhi ya mitandao hutoa jumbe bila kikomo kwa kujiunga na baadhi ya vifurushi wanavyotoa huduma maalumu za jumbe bila kikomo kwa wateja wao.

== Marejeo ==
== Marejeo ==

Pitio la 09:25, 5 Septemba 2017

Simu inapokea ujumbe mfupi wa maandishi.

Huduma ya ujumbe mfupi au huduma ya ujumbe mfupi wa maandishi (kutoka Kiing. SMS kwa short messaging service ) ni aina ya mawasiliano yanayotumika katika simu za mikononi. Yanafahamika sana kwa kuitwa "jumbe fupi" au "ujumbe mfupi". Ukiwa na SMS, mtu mmoja anaweza kumtumia mtu mwingine ujumbe wa maandishi.

Matumizi ya ujumbe mfupi yanaenda pole mno, kwa kuwa kikawaida watu wengi hupenda kutumia njia ya kupiga simu ya sauti sana badala ya kutuma ujumbe mfupi. Vilevile kuna mipaka ya utumaji maandishi yasiyozidi 160.[1] Ukituma ujumbe mrefu zaidi huhesabiwa kama jumbe zaidi ya moja, ambapo mtumiaji atatakiwa alipe zaidi ya ujumbe mmoja.

Jumbe fupi hutumwa kwa simu nyingine iwapo simu ya kawaida haikubali au inatumika sana. Ijapokuwa kuna baadhi ya watu wao huwa mahodari wa kutuma jumbe za kawaida. Matumizi ya jumbe fupi, huenda mtu yupo sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na hawezi kuongea mbele yao, basi atatumia huduma ya ujumbe mfupi kumfahamisha huyo mtumiaji mwenzake juu ya suala fulani nyeti kwa kutumia huduma hii. Gharama za jumbe itategemea na mtandao unaokupa huduma. Baadhi ya mitandao hutoa jumbe bila kikomo kwa kujiunga na baadhi ya vifurushi wanavyotoa huduma maalumu za jumbe bila kikomo kwa wateja wao.

Marejeo

  1. "What is SMS?". BBC. Iliwekwa mnamo 2009-09-02. 

Hindi SMS

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.