Charles Sacleux : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
Sacleux alikuwa padre wa [[shirika ya Roho Mtakatifu]].
Sacleux alikuwa padre wa [[shirika ya Roho Mtakatifu]].


Sacleux alikuwa misionari mkatoliki wa kwanza aliyeandika juu ya [[Kiswahili]]. Alitunga sarufi na [[kamusi ya Kiswahili]]. Mwaka 1891 alitunga kamusi ya "Dictionnaire Français—Swahili" iliyochapishwa 1939<ref>[http://www.uni-leipzig.de/~afrika/swafo/documents/Sacleux1939_small_size_290_MB.pdf Kamusi ya Sacleux kwenye tovuti ya [[Chuo Kikuu cha Leipzig]]]</ref>. Mwaka 1909 alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya lahaja za Kiswahili). Vitabu vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.
Sacleux alikuwa misionari mkatoliki wa kwanza aliyeandika juu ya [[Kiswahili]]. Alitunga sarufi na [[kamusi ya Kiswahili]]. Mwaka 1891 alitunga kamusi ya "Dictionnaire Swahili - Français" iliyochapishwa 1939<ref>[http://www.uni-leipzig.de/~afrika/swafo/documents/Sacleux1939_small_size_290_MB.pdf Kamusi ya Sacleux kwenye tovuti ya [[Chuo Kikuu cha Leipzig]]]</ref>. Mwaka 1909 alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya lahaja za Kiswahili). Vitabu vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.


Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika nyimbo za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika kanisa katoliki.
Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika nyimbo za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika kanisa katoliki.

Pitio la 03:04, 5 Septemba 2017

Charles Joseph Sacleux (1856–1943) alikuwa padre na misionari kutoka Ufaransa aliyekaa miaka mingi Afrika ya Mashariki hasa Bagamoyo. Anakumbukwa kwa utaalamu wake wa lugha na pia utafiti wake juu ya mimea ya Afrika.

Sacleux alikuwa padre wa shirika ya Roho Mtakatifu.

Sacleux alikuwa misionari mkatoliki wa kwanza aliyeandika juu ya Kiswahili. Alitunga sarufi na kamusi ya Kiswahili. Mwaka 1891 alitunga kamusi ya "Dictionnaire Swahili - Français" iliyochapishwa 1939[1]. Mwaka 1909 alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya lahaja za Kiswahili). Vitabu vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.

Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika nyimbo za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika kanisa katoliki.

Alitunga pia kamusi ya Kiswahili cha Komori "Le dictionnaire Comorien-Francais et Francais-Comorien".

Katika kazi yake ya botania alikusanya mimea mingi ya Afrika ya Mashariki na kuieleza akapokea tuzo za kitaalamu kwa utafiti huu.

Tanbihi

  1. Kamusi ya Sacleux kwenye tovuti ya Chuo Kikuu cha Leipzig

Viungo vya Nje