Ruaha Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Dry Great Ruaha River and.jpg|thumb||Ruaha Mkuu jinsi ilivyokauka mwaka [[2006]] kwenye eneo la [[Hifadhi ya Taifa ya Ruaha]].]]
[[File:Dry Great Ruaha River and.jpg|thumb||Ruaha Mkuu jinsi ilivyokauka mwaka [[2006]] kwenye eneo la [[Hifadhi ya Ruaha|Hifadhi ya taifa ya Ruaha]].]]
'''Ruaha Mkuu''' (pia: '''Ruaha Mkubwa''') ni [[mto]] muhimu nchini [[Tanzania]] na [[tawimto]] wa [[Rufiji (mto)|Rufiji]]. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na [[Iringa Mjini]]. [[Jina]] Ruaha kwa [[Kihehe]] linamaanisha "maji mengi".
'''Ruaha Mkuu''' (pia: '''Ruaha Mkubwa''') ni [[mto]] muhimu nchini [[Tanzania]] na [[tawimto]] wa [[Rufiji (mto)|Rufiji]]. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na [[Iringa Mjini]]. [[Jina]] Ruaha kwa [[Kihehe]] linamaanisha "maji mengi".


==Chanzo na mwendo wa mto==
==Chanzo na mwendo wa mto==
[[Chanzo]] chake ni mito mingi midogo inayotelemka [[milima]] ya [[nyanda za juu]] za [[kusini]] mwa Tanzania, hasa [[safu za milima]] ya [[Uporoto]] na [[Kipengere]]. Mito hii inakusanya [[maji]] yake kwenye [[tambarare]] ya [[Usangu]] na ndipo Ruaha inapoanza. Mito mikubwa zaidi inayoungana hapa na kuunda Ruaha ni pamoja na [[mto Mbarali]], [[mto Kimani]] na [[mto Chimala]].
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake ni mito mingi midogo inayotelemka [[milima]] ya [[nyanda za juu]] za [[kusini]] mwa Tanzania, hasa [[safu za milima]] ya [[Uporoto]] na ya [[Kipengere]]. Mito hii inakusanya [[maji]] yake kwenye [[tambarare]] ya [[Usangu]] na ndipo Ruaha inapoanza. Mito mikubwa zaidi inayoungana hapa na kuunda Ruaha ni pamoja na [[mto Mbarali]], [[mto Kimani]] na [[mto Chimala]].


Karibu na [[Ng’iriama]] mto unatoka katika Usangu na kuingia [[Hifadhi ya Ruaha|hifadhi ya kitaifa ya Ruaha]]. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na [[mto Kisigo]] kabla ya kuingia katika [[ziwa]] la [[lambo la Mtera]], halafu inaendelea hadi ziwa la [[lambo]] la [[Kidatu]].
Karibu na [[Ng’iriama]] mto unatoka katika Usangu na kuingia [[Hifadhi ya Ruaha|hifadhi ya kitaifa ya Ruaha]]. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na [[mto Kisigo]] kabla ya kuingia katika [[ziwa]] la [[lambo la Mtera]], halafu inaendelea hadi ziwa la [[lambo]] la [[Kidatu]].
Mstari 10: Mstari 10:


==Matatizo ya ekolojia ya mto==
==Matatizo ya ekolojia ya mto==
Maji ya Ruaha Mkuu ni muhimu kwa [[ekolojia]] ya [[beseni]] yake pamoja na [[watu]] wote wanaoishi huko. Lakini matumizi ya [[binadamu]] yameleta mvurugo kwa ekolojia ya mto na tangu mwaka [[1993]] mto umeanza kukauka wakati wa [[ukame]]. Uhaba wa maji umesababishwa na matumizi mabaya ya maji upande wa miradi mikubwa ya [[mpunga]] katika Usangu.
Maji ya Ruaha Mkuu ni muhimu kwa [[ekolojia]] ya [[beseni]] lake pamoja na [[watu]] wote wanaoishi huko. Lakini matumizi ya [[binadamu]] yameleta mvurugo kwa ekolojia ya mto na tangu mwaka [[1993]] mto umeanza kukauka wakati wa [[ukame]]. Uhaba wa maji umesababishwa na matumizi mabaya ya maji upande wa miradi mikubwa ya [[mpunga]] katika Usangu.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*Ecohydrology of Great Ruaha River: www.iwmi.cgiar.org/Africa/files/RIPARWIN/05/_downloads/Fact-Factsheet_EcoHyd_GRR.doc
* [www.iwmi.cgiar.org/Africa/files/RIPARWIN/05/_downloads/Fact-Factsheet_EcoHyd_GRR.doc] Ecohydrology of Great Ruaha River


{{Mito ya Tanzania}}
{{Mito ya Tanzania}}

Pitio la 13:35, 23 Agosti 2017

Ruaha Mkuu jinsi ilivyokauka mwaka 2006 kwenye eneo la Hifadhi ya taifa ya Ruaha.

Ruaha Mkuu (pia: Ruaha Mkubwa) ni mto muhimu nchini Tanzania na tawimto wa Rufiji. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na Iringa Mjini. Jina Ruaha kwa Kihehe linamaanisha "maji mengi".

Chanzo na mwendo wa mto

Chanzo chake ni mito mingi midogo inayotelemka milima ya nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, hasa safu za milima ya Uporoto na ya Kipengere. Mito hii inakusanya maji yake kwenye tambarare ya Usangu na ndipo Ruaha inapoanza. Mito mikubwa zaidi inayoungana hapa na kuunda Ruaha ni pamoja na mto Mbarali, mto Kimani na mto Chimala.

Karibu na Ng’iriama mto unatoka katika Usangu na kuingia hifadhi ya kitaifa ya Ruaha. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na mto Kisigo kabla ya kuingia katika ziwa la lambo la Mtera, halafu inaendelea hadi ziwa la lambo la Kidatu.

Baada ya Kidatu, Ruaha Mkuu unapita tambarare ya Kilombero hadi kuishia katika mto Rufiji.

Matatizo ya ekolojia ya mto

Maji ya Ruaha Mkuu ni muhimu kwa ekolojia ya beseni lake pamoja na watu wote wanaoishi huko. Lakini matumizi ya binadamu yameleta mvurugo kwa ekolojia ya mto na tangu mwaka 1993 mto umeanza kukauka wakati wa ukame. Uhaba wa maji umesababishwa na matumizi mabaya ya maji upande wa miradi mikubwa ya mpunga katika Usangu.

Viungo vya nje

  • [www.iwmi.cgiar.org/Africa/files/RIPARWIN/05/_downloads/Fact-Factsheet_EcoHyd_GRR.doc] Ecohydrology of Great Ruaha River