Mkoa wa Mtwara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Mtwara location map.svg|thumb|right|260px|Mahali pa Mkoa wa Mtwara katika Tanzania]]
[[Picha:Tanzania Mtwara location map.svg|thumb|right|260px|Mahali pa Mkoa wa Mtwara katika Tanzania]]


'''Mtwara''' ni jina la mji na mkoa wa [[Tanzania]].
'''Mtwara''' ni [[jina]] la [[mji]] na [[mkoa]] wa [[Tanzania]].


'''Mkoa wa Mtwara''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Uko katika pembe la kusini-mashariki kabisa la nchi. Umepakana na [[Mkoa wa Lindi]] upande wa kaskazini, [[Bahari Hindi]] kwa mashariki, [[Msumbiji]] katika kusini na [[Mkoa wa Ruvuma]] upande wa Magharibi. Mpaka wa kusini ni [[Mto Ruvuma]].
'''Mkoa wa Mtwara''' ni kati ya mikoa 31 ya [[Tanzania]]. Uko katika pembe la [[kusini]]-[[mashariki]] kabisa la nchi. Umepakana na [[Mkoa wa Lindi]] upande wa [[kaskazini]], [[Bahari Hindi]] kwa mashariki, [[Msumbiji]] katika kusini na [[Mkoa wa Ruvuma]] upande wa [[magharibi]]. Mpaka wa kusini ni [[Mto Ruvuma]].


Ukiwa na 16,720 km² Mtwara ni mkoa mdogo katika Tanzania pamoja na [[Kilimanjaro]].
Ukiwa na [[km²]] 16,720 Mtwara ni mkoa mdogo katika Tanzania pamoja na [[Kilimanjaro]].


==Wakazi==
==Wakazi==
Jumla kuna wakazi 1,270,854 (sensa 2012)<ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, uk. 87, Table 9.0: Population of Mtwara Region]</ref> waishio humo.
Jumla kuna wakazi 1,270,854 waishio humo ([[sensa]] ya [[mwaka]] [[2012]])<ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, uk. 87, Table 9.0: Population of Mtwara Region]</ref>.


Wanawake wanazidi wakiwa asilimia 53 ya wakazi wote kwa sababu wanaume wengi hutoka nje kutafuta kazi.
[[Wanawake]] wanazidi wakiwa [[asilimia]] 53 ya wakazi wote kwa sababu [[wanaume]] wengi hutoka nje kutafuta [[kazi]].


Kati ya makabila ya Mtwara ndio [[Wamakonde]] wanaojulikana zaidi kutokana na sanaa yao ya [[uchongaji]] wa [[ubao]] hasa [[mpingo]].
Kati ya [[Kabila|makabila]] ya Mtwara ndio [[Wamakonde]] wanaojulikana zaidi kutokana na [[sanaa]] yao ya [[uchongaji]] wa [[ubao]], hasa [[mpingo]].


==Utawala==
==Utawala==
Kuna wilaya 5: [[Mtwara Mjini]] (pia huitwa "Mikindani"), [[Mtwara Vijijini]], [[Masasi]], [[wilaya ya Nanyumbu|Nanyumbu]], [[Newala]] na [[Tandahimba]]. Ndani yao ndipo tarafa 21, kata 98 na vijiji 554.
Kuna [[wilaya]] 5: [[Mtwara Mjini]] (pia huitwa "Mikindani"), [[Mtwara Vijijini]], [[Masasi]], [[wilaya ya Nanyumbu|Nanyumbu]], [[Newala]] na [[Tandahimba]]. Ndani yake kuna [[tarafa]] 21, [[kata]] 98 na [[Kijiji|vijiji]] 554.


==Uchumi==
==Uchumi==
Mtwara iko kati ya mikoa iliyobaki nyuma miaka mingi kutokana na ugumu wa mawasiliano na barabara isiyopitika kwa sehemu kubwa ya kila mwaka.
Mtwara iko kati ya mikoa iliyobaki nyuma miaka mingi kutokana na ugumu wa [[mawasiliano]] na [[barabara]] isiyopitika kwa sehemu kubwa ya kila mwaka.


Historia ya Mtwara inakuja sambamba na kumbukumbu la jaribio la [[Waingereza]] la kuanzisha mradi mkubwa wa maendeleo katika eneo hili ulioshindikana kabisa. Kuanzia 1947 serikali ya kikoloni ilijenga bandari ya Mtwara pamoja na reli. Vilevile [[Mtwara mjini]] ilipangwa vizuri na kubwa. Sababu yake ilikuwa mpango wa kuanzisha kilimo cha mashamba makubwa kwa ajili ya karanga hasa zilizohitajika kwa ajili ya mahitaji ya Waingereza ya mafuta ya kupikia. Mradi huu ulishindikana kabisa, pesa nyingi ilipotea hadi mradi ulifutwa kabla ya Tanzania kupata uhuru. Reli iliondolewa tena 1963.
[[Historia]] ya Mtwara inakuja sambamba na kumbukumbu la jaribio la [[Waingereza]] la kuanzisha mradi mkubwa wa [[maendeleo]] katika eneo hili ulioshindikana kabisa.


Kuanzia mwaka [[1947]] [[serikali]] ya kikoloni ilijenga [[bandari]] ya Mtwara pamoja na [[reli]]. Vilevile [[Mtwara mjini]] ilipangwa vizuri na kubwa. Sababu yake ilikuwa mpango wa kuanzisha [[kilimo]] cha [[Shamba|mashamba]] makubwa kwa ajili ya [[karanga]] hasa zilizohitajika kwa ajili ya mahitaji ya Waingereza ya [[mafuta]] ya kupikia.
Bandari imebaki ambayo haijaona kazi nyingi lakini bado ina faida ya kuwa na nafasi nzuri sana ya kupokea meli kubwa. Wakati wa mapambano dhidi ya serikali ya ubaguzi wa rangi katika Afrika Kusini mipango mbalimbali imetungwa kutengeneza njia ya kupeleka bishaa kutoka bandari ya Mtwara kwenda [[Songea]] na kutoka huko [[Malawi]] kwa kuvuka [[Ziwa la Nyasa]].


Mradi huo ulishindikana kabisa, [[pesa]] nyingi zilipotea hadi mradi ulifutwa kabla ya Tanzania kupata [[uhuru]]. Reli iliondolewa tena mwaka [[1963]].
Baada ya kujengwa kwa daraja mtoni Rufiji mwaka 2002 kuna matumaini mpya ya kuwa na barabara inayotumika kati ya Mtwara na [[Daressalaam]]. Eneo la Mnazi Bay ina gesi inayoweza kutumika kwa mahitaji ya nishati ya eneo lote.

Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa mtwara ni kilimo hasa ikitegemea zao la korosho kwa wakulima wa wilaya zote za mkoa wa mtwara,kwa miaka ya karibuni wilaya ya TANDAHIMBA na masasi ndio wamekuwa wazalishaji wa kiwango cha juu wa korosho.Pia mfumo wa stakabadhi ghalani umesaidia kwa kiasi fulani kwa miaka ya awali ya uanzishwaji mfumo huo(msimu wa 2008/2009)kwa miaka iliyofuata vyama vya msingi vimeonekana kuelemewa na mfumo huo na kusabaisha sinto fahamu inayoweza kurekebishwa kwa kuwahusisha wadau wote wa zao la korosho.
Bandari imebaki ambayo haijaona kazi nyingi lakini bado ina faida ya kuwa na nafasi nzuri sana ya kupokea [[meli]] kubwa. Wakati wa mapambano dhidi ya serikali ya [[ubaguzi wa rangi]] katika [[Afrika Kusini]] mipango mbalimbali ilitungwa kutengeneza njia ya kupeleka [[bidhaa]] kutoka bandari ya Mtwara kwenda [[Songea]] na kutoka huko [[Malawi]] kwa kuvuka [[Ziwa Nyasa]].

Baada ya kujengwa kwa [[daraja]] juu ya [[mto Rufiji]] mwaka [[2002]] kuna matumaini mpya ya kuwa na barabara inayotumika kati ya Mtwara na [[Dar es Salaam]].

Eneo la [[Mnazi Bay]] ina [[gesi]] inayoweza kutumika kwa mahitaji ya [[nishati]] ya eneo lote.

Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa Mtwara ni [[kilimo]], hasa ikitegemea [[zao]] la [[korosho]] kwa [[wakulima]] wa wilaya zote za mkoa.

Kwa miaka ya karibuni wilaya ya Tandahimba na Masasi ndizo zimekuwa wazalishaji wa kiwango cha juu wa korosho. Pia mfumo wa stakabadhi ghalani umesaidia kwa kiasi fulani kwa miaka ya awali ya uanzishwaji mfumo huo (msimu wa 2008/2009) kwa miaka iliyofuata vyama vya msingi vimeonekana kuelemewa na mfumo huo na kusababisha sintofahamu inayoweza kurekebishwa kwa kuwahusisha wadau wote wa zao la korosho.


==Majimbo ya bunge==
==Majimbo ya bunge==
Mstari 39: Mstari 48:
* Masasi :
* Masasi :
* Lulindi :
* Lulindi :



==Marejeo==
==Marejeo==
Mstari 48: Mstari 56:
* [http://web.archive.org/web/20031215152319/http://www.tanzania.go.tz/census/census/mtwara.htm Mtwara Region Homepage for the 2002 Tanzania National Census]
* [http://web.archive.org/web/20031215152319/http://www.tanzania.go.tz/census/census/mtwara.htm Mtwara Region Homepage for the 2002 Tanzania National Census]
* [https://archive.is/20120530155615/www.tanzania.go.tz/govdirf.html Tanzanian Government Directory Database]
* [https://archive.is/20120530155615/www.tanzania.go.tz/govdirf.html Tanzanian Government Directory Database]
{{Mikoa ya Tanzania}}

[[Jamii:Mikoa ya Tanzania|M]]
[[Jamii:Mikoa ya Tanzania|M]]
[[Jamii:Mkoa wa Mtwara| ]]
[[Jamii:Mkoa wa Mtwara| ]]
{{Mikoa ya Tanzania}}

Pitio la 09:39, 22 Agosti 2017

Mahali pa Mkoa wa Mtwara katika Tanzania

Mtwara ni jina la mji na mkoa wa Tanzania.

Mkoa wa Mtwara ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Uko katika pembe la kusini-mashariki kabisa la nchi. Umepakana na Mkoa wa Lindi upande wa kaskazini, Bahari Hindi kwa mashariki, Msumbiji katika kusini na Mkoa wa Ruvuma upande wa magharibi. Mpaka wa kusini ni Mto Ruvuma.

Ukiwa na km² 16,720 Mtwara ni mkoa mdogo katika Tanzania pamoja na Kilimanjaro.

Wakazi

Jumla kuna wakazi 1,270,854 waishio humo (sensa ya mwaka 2012)[1].

Wanawake wanazidi wakiwa asilimia 53 ya wakazi wote kwa sababu wanaume wengi hutoka nje kutafuta kazi.

Kati ya makabila ya Mtwara ndio Wamakonde wanaojulikana zaidi kutokana na sanaa yao ya uchongaji wa ubao, hasa mpingo.

Utawala

Kuna wilaya 5: Mtwara Mjini (pia huitwa "Mikindani"), Mtwara Vijijini, Masasi, Nanyumbu, Newala na Tandahimba. Ndani yake kuna tarafa 21, kata 98 na vijiji 554.

Uchumi

Mtwara iko kati ya mikoa iliyobaki nyuma miaka mingi kutokana na ugumu wa mawasiliano na barabara isiyopitika kwa sehemu kubwa ya kila mwaka.

Historia ya Mtwara inakuja sambamba na kumbukumbu la jaribio la Waingereza la kuanzisha mradi mkubwa wa maendeleo katika eneo hili ulioshindikana kabisa.

Kuanzia mwaka 1947 serikali ya kikoloni ilijenga bandari ya Mtwara pamoja na reli. Vilevile Mtwara mjini ilipangwa vizuri na kubwa. Sababu yake ilikuwa mpango wa kuanzisha kilimo cha mashamba makubwa kwa ajili ya karanga hasa zilizohitajika kwa ajili ya mahitaji ya Waingereza ya mafuta ya kupikia.

Mradi huo ulishindikana kabisa, pesa nyingi zilipotea hadi mradi ulifutwa kabla ya Tanzania kupata uhuru. Reli iliondolewa tena mwaka 1963.

Bandari imebaki ambayo haijaona kazi nyingi lakini bado ina faida ya kuwa na nafasi nzuri sana ya kupokea meli kubwa. Wakati wa mapambano dhidi ya serikali ya ubaguzi wa rangi katika Afrika Kusini mipango mbalimbali ilitungwa kutengeneza njia ya kupeleka bidhaa kutoka bandari ya Mtwara kwenda Songea na kutoka huko Malawi kwa kuvuka Ziwa Nyasa.

Baada ya kujengwa kwa daraja juu ya mto Rufiji mwaka 2002 kuna matumaini mpya ya kuwa na barabara inayotumika kati ya Mtwara na Dar es Salaam.

Eneo la Mnazi Bay ina gesi inayoweza kutumika kwa mahitaji ya nishati ya eneo lote.

Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa Mtwara ni kilimo, hasa ikitegemea zao la korosho kwa wakulima wa wilaya zote za mkoa.

Kwa miaka ya karibuni wilaya ya Tandahimba na Masasi ndizo zimekuwa wazalishaji wa kiwango cha juu wa korosho. Pia mfumo wa stakabadhi ghalani umesaidia kwa kiasi fulani kwa miaka ya awali ya uanzishwaji mfumo huo (msimu wa 2008/2009) kwa miaka iliyofuata vyama vya msingi vimeonekana kuelemewa na mfumo huo na kusababisha sintofahamu inayoweza kurekebishwa kwa kuwahusisha wadau wote wa zao la korosho.

Majimbo ya bunge

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

Marejeo

Viungo vya nje