Wahutu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Mstari 1: Mstari 1:
'''Wahutu''' ni [[kabila]] kubwa la [[watu]] ambao wanaishi katika eneo la [[Maziwa makubwa ya Afrika]], hasa [[Rwanda]] na [[Burundi]], lakini pia [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Tanzania]], hasa baada ya [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]]. Jumla yao ni zaidi ya [[milioni]] 11.5.
'''Wahutu''' ni [[kabila]] kubwa la [[watu]] wanaoishi katika eneo la [[Maziwa makubwa ya Afrika]], hasa [[Rwanda]] na [[Burundi]], lakini pia [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Tanzania]], hasa baada ya [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]]. Jumla yao ni zaidi ya [[milioni]] 11.5.


[[Lugha]] yao ni kati ya [[lugha za Kibantu]] na imegawanyika katika [[lahaja]] [[mbili]], [[Kinyarwanda]] na [[Kirundi]].
[[Lugha]] yao ni kati ya [[lugha za Kibantu]] na imegawanyika katika [[lahaja]] [[mbili]], [[Kinyarwanda]] na [[Kirundi]].

Pitio la 12:00, 20 Agosti 2017

Wahutu ni kabila kubwa la watu wanaoishi katika eneo la Maziwa makubwa ya Afrika, hasa Rwanda na Burundi, lakini pia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania, hasa baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Jumla yao ni zaidi ya milioni 11.5.

Lugha yao ni kati ya lugha za Kibantu na imegawanyika katika lahaja mbili, Kinyarwanda na Kirundi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wahutu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.