Elektrolaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Elektrolaiti''' ni kemikali ambayo husafirisha mkondo wa umeme.Hutumika kwenye mabetri kufanya ioni zitiririke , hivyo huzalisha mkondo...'
 
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''Elektrolaiti''' ni [[kemikali]] ambayo husafirisha [[mkondo wa umeme]].Hutumika kwenye ma[[betri]] kufanya [[ioni]] zitiririke , hivyo huzalisha mkondo wa umeme . Elektrolaiti huwa ioni kama ikiyeyushwa kwenye [[maji]].Aghalabu vitu vinavyoyeyuka kama [[chumvi]], [[asidi]] , na [[nyongo]] ni elektrolaiti
'''Elektrolaiti''' ni [[kemikali]] ambayo husafirisha [[mkondo wa umeme]]. Hutumika kwenye [[betri]] kufanya [[ioni]] zitiririke, na hivyo huzalisha mkondo wa umeme. Elektrolaiti huwa ioni kama ikiyeyushwa kwenye [[maji]]. Aghalabu vitu vinavyoyeyuka, kama [[chumvi]], [[asidi]] na [[nyongo]] ni elektrolaiti


Elektrolaiti inayotumiwa katika "seli za kielektrolaiti" hubeba ioni kati ya [[elektrodi]] za [[seli]]. [[Elementi]] za kielekrolaiti zinaweza kutumiwa kuondokana na mambo yaliyojitokeza na [[kampaundi]] zilizomo katika mchanganyiko.
Elektrolaiti inayotumiwa katika "seli za kielektrolaiti" hubeba ioni kati ya [[elektrodi]] za [[seli]]. [[Elementi]] za kielekrolaiti zinaweza kutumiwa kuondokana na mambo yaliyojitokeza na [[kampaundi]] zilizomo katika mchanganyiko.


Mkusanyiko sahihi wa electrolaiti ni muhimu kwa [[fiziolojia]]
Mkusanyiko sahihi wa electrolaiti ni muhimu kwa [[fiziolojia]].

{{mbegu-kemia}}

[[Jamii:Umeme]]

Toleo la sasa la 13:29, 11 Agosti 2017

Elektrolaiti ni kemikali ambayo husafirisha mkondo wa umeme. Hutumika kwenye betri kufanya ioni zitiririke, na hivyo huzalisha mkondo wa umeme. Elektrolaiti huwa ioni kama ikiyeyushwa kwenye maji. Aghalabu vitu vinavyoyeyuka, kama chumviasidi na nyongo ni elektrolaiti

Elektrolaiti inayotumiwa katika "seli za kielektrolaiti" hubeba ioni kati ya elektrodi za seli. Elementi za kielekrolaiti zinaweza kutumiwa kuondokana na mambo yaliyojitokeza na kampaundi zilizomo katika mchanganyiko.

Mkusanyiko sahihi wa electrolaiti ni muhimu kwa fiziolojia.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elektrolaiti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.