Mtemi Mirambo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mtawala wa jamii ya wanyamwezi
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mtemi Mirambo''' alikuwa [[mfalme]] wa [[Wanyamwezi]] katika [[magharibi]] ya [[Tanzania]] ya leo.
Historia ya mtemi mirambo

Mirambo aliwahi kutajirika kama [[mfanyabiashara]] kwa njia ya [[Biashara ya misafara|misafara]] kati ya [[pwani]] ya [[Bahari Hindi]] na [[Kongo]].

Alitumia sehemu kubwa ya [[utajiri]] wake kujenga [[jeshi]] la binafsi. Kwa kusudi hilo alinunua [[bunduki]] aina ya [[gobori]] na kukusanya [[vijana]] wengi walioitwa "rugaruga". Rugaruga hao walihofiwa kote. Inasemekana ya kwamba kabla ya mapigano walipewa [[pombe]] na [[bangi]] kwa kusudi la kuongeza ukatili na kupunguza [[hofu]] yao ya kifo.

Kwa kawaida vijana hao walikuwa [[wanaume]] walioishi bila [[ukoo]] na bila [[familia]] kisha kutoroka kwenye hali ya [[utumwa]] au kuwa [[wapagazi]] wa misafara.<ref>John Iliffe: ''A Modern History of Tanganyika''. Cambridge University Press, Cambridge 1979, uk. 64</ref> Mirambo aliwapokea na kuwapa silaha na kwa njia hii alishinda maadui na aliweza kupanua eneo lake hadi kuwa mtemi mkuu wa Wanyamwezi kuanzia mwaka [[1860]] hadi [[kifo]] chake mnamo [[1884]].

==Tanbihi==
{{marejeo}}
{{mbegu-mtu}}

[[Jamii:Waliofariki 1884]]
[[Jamii:Wanyamwezi]]
[[Jamii:Historia ya Tanganyika]]

Pitio la 06:48, 9 Agosti 2017

Mtemi Mirambo alikuwa mfalme wa Wanyamwezi katika magharibi ya Tanzania ya leo.

Mirambo aliwahi kutajirika kama mfanyabiashara kwa njia ya misafara kati ya pwani ya Bahari Hindi na Kongo.

Alitumia sehemu kubwa ya utajiri wake kujenga jeshi la binafsi. Kwa kusudi hilo alinunua bunduki aina ya gobori na kukusanya vijana wengi walioitwa "rugaruga". Rugaruga hao walihofiwa kote. Inasemekana ya kwamba kabla ya mapigano walipewa pombe na bangi kwa kusudi la kuongeza ukatili na kupunguza hofu yao ya kifo.

Kwa kawaida vijana hao walikuwa wanaume walioishi bila ukoo na bila familia kisha kutoroka kwenye hali ya utumwa au kuwa wapagazi wa misafara.[1] Mirambo aliwapokea na kuwapa silaha na kwa njia hii alishinda maadui na aliweza kupanua eneo lake hadi kuwa mtemi mkuu wa Wanyamwezi kuanzia mwaka 1860 hadi kifo chake mnamo 1884.

Tanbihi

  1. John Iliffe: A Modern History of Tanganyika. Cambridge University Press, Cambridge 1979, uk. 64
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtemi Mirambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.