Kijani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kijani''' ni mojawapo ya rangi zitumikazo kwa kazi mbalimali kama vile;kazi za kuchora michoro mbalimbali na kazi zinginezo. Kwa kazi ya kuch...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kijani''' ni mojawapo ya [[rangi]] zitumikazo kwa [[kazi]] mbalimali
'''Kijani''' ni mojawapo ya [[rangi]] zitumikazo kwa [[kazi]] mbalimbali kama vile [[kuchora]] [[michoro]] mbalimbali na kazi nyinginezo.

kama vile;kazi za [[kuchora]] [[michoro]] mbalimbali na kazi zinginezo.
Kwa kazi ya kuchora michoro unaweza kutumia rangi hii katika kuchora
Kwa kazi ya kuchora michoro unaweza kutumia rangi hii katika kuchora vitu mbalimbali kama vile [[wanyama]], [[wadudu]], na hasa [[mimea]] na kutumika katika kazi za kurembeshea
vitu mbalimbali kama vile [[wanyama]],[[wadudu]],[[mimea]] na kutumika katika kazi za kurembeshea
vitu kama vile [[majengo]] ya [[nyumba]], [[shule]], [[ofisi]] na kadhalika.

vitu kama vile kurembesha [[majengo]] ya [[nyumba]],[[shule]],[http://ofisi ofisi] na kadhalika.
Rangi hii inauhusiano na rangi mbalimbali kama vile:
Rangi hii ina uhusiano na rangi mbalimbali kama vile:
* Rangi ya [[njano]]
* Rangi ya [[njano]]
* Rangi [[nyekundu]]
* Rangi [[nyekundu]]
Mstari 10: Mstari 10:
* Rangi ya [[zambarau]]
* Rangi ya [[zambarau]]
* Rangi ya [[kahawia]],
* Rangi ya [[kahawia]],
na rangi nyingine zenye uhusiano na rangi hizi.
na rangi nyingine zenye uhusiano na rangi hizo.

{{mbegu}}

[[Jamii:Rangi]]

Pitio la 14:12, 6 Agosti 2017

Kijani ni mojawapo ya rangi zitumikazo kwa kazi mbalimbali kama vile kuchora michoro mbalimbali na kazi nyinginezo.

Kwa kazi ya kuchora michoro unaweza kutumia rangi hii katika kuchora vitu mbalimbali kama vile wanyama, wadudu, na hasa mimea na kutumika katika kazi za kurembeshea vitu kama vile majengo ya nyumba, shule, ofisi na kadhalika.

Rangi hii ina uhusiano na rangi mbalimbali kama vile:

na rangi nyingine zenye uhusiano na rangi hizo.