Figo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d kuweka picha
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Illu kidney2.jpg|thumb|Figo ya binadamu]]

Figo ni [kiungo] cha [mwili] ambacho ni cha kutatanisha, figo hufanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [binadamu]. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha [maji] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe kama vile [urea] na [minerali] katika [damu]na kuchuja hizo, pamoja na maji na [mkojo].
[[Figo]] ni [kiungo] cha [mwili] ambacho ni cha kutatanisha, figo hufanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [binadamu]. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha [maji] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe kama vile [urea] na [minerali] katika [damu]na kuchuja hizo, pamoja na maji na [mkojo].

Kwa maana figo zimeumbwa kuhisi ukolezi wa [plazma] ya ioni kama vile [sodiamu], [potasiamu], [hidrojeni], [oksijeni] [hewa] na msombo kama vile [asidi amino], kreatini, [bikaboneti] na [glukosi], figo husawazisha [shinikizo la damu], hali ya ujenzi wa [glukosi] katika chembechembe, na [erithropoesisi] yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [selidamu] nyekundu]]).

Pitio la 13:07, 6 Agosti 2017

Figo ya binadamu

Figo ni [kiungo] cha [mwili] ambacho ni cha kutatanisha, figo hufanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [binadamu]. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha [maji] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe kama vile [urea] na [minerali] katika [damu]na kuchuja hizo, pamoja na maji na [mkojo].

Kwa maana figo zimeumbwa kuhisi ukolezi wa [plazma] ya ioni kama vile [sodiamu], [potasiamu], [hidrojeni], [oksijeni] [hewa] na msombo kama vile [asidi amino], kreatini, [bikaboneti] na [glukosi], figo husawazisha [shinikizo la damu], hali ya ujenzi wa [glukosi] katika chembechembe, na [erithropoesisi] yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [selidamu] nyekundu]]).

[Sayansi] ichunguzayo figo na maradhi ya figo inaitwa [nefrolojia]. Kiambishi awali, "[nefro]" imaanishayo figo imetoka kwa [lugha] ya [Kigiriki cha kale], "[nefros] [νεφρός]", kitambulishi "[-a figo]", maana yake kuchujia kumetoka kwa [Kilatini] [rēnēs]

utambi na kipimo chake ni [sentimeta] [9 mpaka 13] kwa [kipenyo], kipimo cha figo ya kushoto ni kikubwa zaidi kidogo kuliko cha la kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba [T12 na L3]. Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na [ubavu] wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na [tezi ya adrenali] zimefunikwa na [ngozi] mbili zenye [mafuta] na [renal fascia] inayosaidia kuimarisha figo. 

Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama [unilateral agenesis] kwa [Kiingereza], pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo yoyote, hali hiyo inajulikana kama [bilateral agenesis].

figo hupata [damu chafu] kwenye [mkole wa tumbo] ambayo imegawika katika matawi [mawili], [ateri] moja kwa upande wa [kulia]na nyingine kwa upande wa [kushoto]. Kisha damu ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye [vena] ya damu safi, inayoelekea kwa [vena kava] ya chini ya kuendelea mpaka [moyo]. Damu safi ni kadiri [asilimia 20-25] za uzalishaji wa moyo.