Kijani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kijani''' ni mojawapo ya rangi zitumikazo kwa kazi mbalimali kama vile;kazi za kuchora michoro mbalimbali na kazi zinginezo. Kwa kazi ya kuch...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:59, 2 Agosti 2017

Kijani ni mojawapo ya rangi zitumikazo kwa kazi mbalimali kama vile;kazi za kuchora michoro mbalimbali na kazi zinginezo. Kwa kazi ya kuchora michoro unaweza kutumia rangi hii katika kuchora vitu mbalimbali kama vile wanyama,wadudu,mimea na kutumika katika kazi za kurembeshea vitu kama vile kurembesha majengo ya nyumba,shule,ofisi na kadhalika. Rangi hii inauhusiano na rangi mbalimbali kama vile:

na rangi nyingine zenye uhusiano na rangi hizi.