Hipparchos wa Nikaia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
Hutazamwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.
Hutazamwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.

Aliorodhesha [[nyota]] 800 na kuzichora katika [[ramani]] ya [[anga]]. Aliweza kukadiria na kutabiri [[kupatwa kwa jua]] .
Aliorodhesha [[nyota]] 800 na kuzichora katika [[ramani]] ya [[anga]]. Alibuni mfumo wa kutofautisha nyota kwa [[uangavu unaoonekana]].
Aliweza kukadiria na kutabiri [[kupatwa kwa jua]] .

Katika [[hisabati]] alianzisha mbinu za kijiometria, kwa mfano mgawanyo wa [[duara]] kuwa na [[nyuzi]] 360.
Katika [[hisabati]] alianzisha mbinu za kijiometria, kwa mfano mgawanyo wa [[duara]] kuwa na [[nyuzi]] 360.

Pitio la 09:57, 20 Julai 2017

Faili:Hipparchos 1.jpeg
Hipparchos

Hipparchos (kwa Kigiriki Ἵππαρχος; takr. 190 KK hadi takr. 120 KK) alikuwa mtaalamu wa astronomia, jiografia na hisabati wa Ugiriki ya Kale.

Alizaliwa mjini Nikaia (leo: Iznik katika Uturuki) akafariki kwenye kisiwa cha Rhodos.

Hutazamwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.

Aliorodhesha nyota 800 na kuzichora katika ramani ya anga. Alibuni mfumo wa kutofautisha nyota kwa uangavu unaoonekana.

Aliweza kukadiria na kutabiri kupatwa kwa jua .

Katika hisabati alianzisha mbinu za kijiometria, kwa mfano mgawanyo wa duara kuwa na nyuzi 360.