Tofauti kati ya marekesbisho "Kasoko ya Chicxulub"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Kasoko ya Chicxulub'''<ref>tamka ''chik-shulub''</ref> ni kasoko kubwa kwenye pwani la [[rasi ya Yucatan]] ([[Meksiko]]) iliyosababishwa na pigo la [[asteroidi]] miaka milioni 66 iliyopita. Inaaminiwa ya kwamba tukio hili lilisababisha kuangamizwa kwa [[dinosauri]] pamoja na spishi nyingi nyingine duniani.
 
Kasoko hii ina kipenyo cha zaidi ya [[km]] 180 hivyo ni kasoko kubwa ya tatu duniani iliyosababishwa na pigo la asteroidi (''[[:en:impact crater]]'') <ref>Earth Impact Data Base: [http://www.unb.ca/passc/ImpactDatabase/#ImpactCraterCriteria]</ref> AstaroidiAsteroidi iliyopiga hapa ilikuwa na kipenyo cha angalau [[km]] 10. Pigo hili lilisababisha tsunami, kuwaka kwa moto katika sehemu nyingi za dunia, mitetemeko ya ardhi na kulipuka kwa volkeno nyingi na kutokana na vumbi na majivu nuru ya jua ilizuiliwa na hivyo kutokea kipindi kirefu cha giza na baridi kali kote duniani.
 
Kasoko haionekani tena kwa macho au kutoka ndege maana [[mmomonyoko]] kwenye uso wa ardhi umeshasawazisha milima na kufunika shimo. Lakini vipimo inaonyesha mabadiliko katika miamba ya eneo hili na mabadiliko katika uga wa [[graviti]] ya eneo hili yanayotokana na densiti kubwa ya miamba pale ambako pigo lilikandamiza mwamba. Umri wa mwamba ulipimiwa na kukadiriwa kuwa takriban miaka milioni 65 - 66. Umri huu unalingana na kupotea ghafla kwa spishi nyingi kote duniani jinsi inavyoonekana katika mabaki ya [[kisukuku]].<ref name=Schulte>{{cite journal|last=Schulte|first=Peter ''et al.''|coauthors=|date=5 March 2010|title=The Chicxulub Asteroid Impact and Mass Extinction at the Cretaceous-Paleogene Boundary|journal=Science|publisher=AAAS|volume=327|issue=5970|pages=1214–1218|issn=1095-9203 |url=http://www.sciencemag.org/cgi/content/abstract/327/5970/1214|accessdate=5 March 2010|doi=10.1126/science.1177265|pmid=20203042}}

Urambazaji