Tofauti kati ya marekesbisho "Kasoko ya Chicxulub"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
[[File:Chicxulub-Anomaly.jpg|thumb|right|250px|Ramani ya tofauti za graviti katika eneo la Chicxulub. Mstari mweupe unaonyesha pwani la bahari. Mistari za duara zinaonyesha mipaka ya kasoko iliyofichwa chini ya ardhi na chini ya bahari.]]
 
'''Kasoko ya Chicxulub'''<ref>tamka ''chik-shulub''</ref> ni kasoko kubwa kwenye pwani la [[rasi ya Yucatan]] ([[Meksiko]]) iliyosababishwa na pigo la [[asteroidi]] miaka milioni 66 iliyopita. InaaminuiwaInaaminiwa ya kwamba tukio hili lilisababisha kuangamizwa kwa [[dinosauri]] pamoja na spishi nyingi nyingine duniani.
 
Kasoko hii ina kipenyo cha zaidi ya [[km]] 180 hivyo ni kasoko kubwa ya tatu duniani iliyosababishwa na pigo la asteroidi (''[[:en:impact crater]]'') <ref>Earth Impact Data Base: [http://www.unb.ca/passc/ImpactDatabase/#ImpactCraterCriteria]</ref> Astaroidi iliyopiga hapa ilikuwa na kipenyo cha angalau [[km]] 10.

Urambazaji