Kasoko ya Chicxulub : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|Picha kutoka kwa chomboanga cha [[NASA zinaonyesha sehemu ya mzingo wa kasoko. <ref name="NASA PIA03379">{{cite we...'
 
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[File:Chicxulub-Anomaly.jpg|thumb|right|250px|Ramani ya tofauti za graviti katika eneo la Chicxulub. Mstari mweupe unaonyesha pwani la bahari. Mistari za duara zinaonyesha mipaka ya kasoko iliyofichwa chini ya ardhi na chini ya bahari.]]
[[File:Chicxulub-Anomaly.jpg|thumb|right|250px|Ramani ya tofauti za graviti katika eneo la Chicxulub. Mstari mweupe unaonyesha pwani la bahari. Mistari za duara zinaonyesha mipaka ya kasoko iliyofichwa chini ya ardhi na chini ya bahari.]]


'''Kasoko ya Chicxulub''' ni kasoko kubwa kwenye pwani la [[rasi ya Yucatan]] ([[Meksiko]]) iliyosababishwa na pigo la [[asteroidi]] miaka milioni 66 iliyopita. Inaaminuiwa ya kwamba tukio hili lilisababisha kuangamizwa kwa [[dinosauri]] pamoja na spishi nyingi nyingine duniani.
'''Kasoko ya Chicxulub'''<ref>tamka ''chik-shulub''</ref> ni kasoko kubwa kwenye pwani la [[rasi ya Yucatan]] ([[Meksiko]]) iliyosababishwa na pigo la [[asteroidi]] miaka milioni 66 iliyopita. Inaaminuiwa ya kwamba tukio hili lilisababisha kuangamizwa kwa [[dinosauri]] pamoja na spishi nyingi nyingine duniani.


Kasoko hii ina kipenyo cha zaidi ya [[km]] 180 hivyo ni kasoko kubwa ya tatu duniani iliyosababishwa na pigo la asteroidi (''[[:en:impact crater]]'') <ref>Earth Impact Data Base: [http://www.unb.ca/passc/ImpactDatabase/#ImpactCraterCriteria]</ref> Astaroidi iliyopiga hapa ilikuwa na kipenyo cha angalau [[km]] 10.
Kasoko hii ina kipenyo cha zaidi ya [[km]] 180 hivyo ni kasoko kubwa ya tatu duniani iliyosababishwa na pigo la asteroidi (''[[:en:impact crater]]'') <ref>Earth Impact Data Base: [http://www.unb.ca/passc/ImpactDatabase/#ImpactCraterCriteria]</ref> Astaroidi iliyopiga hapa ilikuwa na kipenyo cha angalau [[km]] 10.

Pitio la 09:44, 5 Julai 2017

Picha kutoka kwa chomboanga cha NASA zinaonyesha sehemu ya mzingo wa kasoko. [1]
Faili:Chicxulub-Anomaly.jpg
Ramani ya tofauti za graviti katika eneo la Chicxulub. Mstari mweupe unaonyesha pwani la bahari. Mistari za duara zinaonyesha mipaka ya kasoko iliyofichwa chini ya ardhi na chini ya bahari.

Kasoko ya Chicxulub[2] ni kasoko kubwa kwenye pwani la rasi ya Yucatan (Meksiko) iliyosababishwa na pigo la asteroidi miaka milioni 66 iliyopita. Inaaminuiwa ya kwamba tukio hili lilisababisha kuangamizwa kwa dinosauri pamoja na spishi nyingi nyingine duniani.

Kasoko hii ina kipenyo cha zaidi ya km 180 hivyo ni kasoko kubwa ya tatu duniani iliyosababishwa na pigo la asteroidi (en:impact crater) [3] Astaroidi iliyopiga hapa ilikuwa na kipenyo cha angalau km 10.

Kasoko haionekani tena kwa macho au kutoka ndege maana mmomonyoko kwenye uso wa ardhi umeshasawazisha milima na kufunika shimo. Lakini vipimo inaonyesha mabadiliko katika miamba ya eneo hili na mabadiliko katika uga wa graviti ya eneo hili yanayotokana na densiti kubwa ya miamba pale ambako pigo lilikandamiza mwamba. Umri wa mwamba ulipimiwa na kukadiriwa kuwa takriban miaka milioni 65 - 66. Umri huu unalingana na kupotea ghafla kwa spishi nyingi kote duniani jinsi inavyoonekana katika mabaki ya kisukuku.[4][5]

Marejeo

  1. PIA03379: Shaded Relief with Height as Color, Yucatan Peninsula, Mexico. Shuttle Radar Topography Mission. NASA. Iliwekwa mnamo October 28, 2010.
  2. tamka chik-shulub
  3. Earth Impact Data Base: [1]
  4. Schulte, Peter et al. (5 March 2010). "The Chicxulub Asteroid Impact and Mass Extinction at the Cretaceous-Paleogene Boundary". Science (AAAS) 327 (5970): 1214–1218. ISSN 1095-9203. PMID 20203042. doi:10.1126/science.1177265. Retrieved 5 March 2010. 
  5. *Rincon, Paul. "Dinosaur extinction link to crater confirmed", BBC, 2010-03-04. Retrieved on 2010-03-05.