Musoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18: Mstari 18:


}}
}}
'''Musoma''' ni [[mji]] wa [[Tanzania]] uliopo kwenye mwambao wa mashariki ya [[Ziwa Viktoria]] inapakana na [[Wilaya ya Musoma Vijijini]]. Ni makao makuu ya [[Mkoa wa Mara]]. Musoma imepata halmashauri na hadhi ya [[manisipaa]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 <ref>[http://web.archive.org/web/20031218001127/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/musomaurban.htm Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara]</ref>.
'''Musoma''' ni [[mji]] wa [[Tanzania]] uliopo kwenye [[mwambao]] wa [[mashariki]] wa [[Ziwa Viktoria]]. Musoma imepata halmashauri na hadhi ya [[manisipaa]]. [[Manispaa]] hiyo inapakana na [[Wilaya ya Musoma Vijijini]]. Ni [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Mara]]. Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, [[idadi]] ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 <ref>[http://web.archive.org/web/20031218001127/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/musomaurban.htm Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara]</ref>.
[[Picha:Musoma_Seeufer.jpg|thumb|left|Tembo beach]]
[[Picha:Musoma_Seeufer.jpg|thumb|left|Tembo beach]]


==Historia==
==Historia==
Kabla ya [[ukoloni]] eneo la Musoma lilikuwa nchi ya [[Wakabwe]], kundi la [[Wajaluo]] waliowahi kuhamia hapa.<ref>Siso - Shetler, uk. 75</ref>
Kabla ya ukoloni eneo la Musoma ilkuwa nchi ya Wakabwe, kundi la Wajaluo waliowahi kuhamia hapa.<ref>Siso - Shetler, uk. 75</ref> Wajerumani wa kwanza walifika mnamo mwaka 1910 walikuwa wamisionari kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na hule karibu na makao ya Mtemi Nyabange<ref>Kutokana na maelezo katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]] Nyabange iliyoitwa "Njawangi" ([[jer.]] "j"=y) ilikuwapo takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii</ref> wakafuatwa na afisa wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa forodha. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko kina ya maji ufukoni kilifaa zaidi kwa meli kufika<ref>Siso - Shetler, uk. 79</ref>. Hivyo Musoma ilianzishwa kama bandari na baadaye makao ya ofisi mdogo wa [[Mikoa_ya_Tanzania#Utawala_wa_Kijerumani|Mkoa wa kikoloni wa Mwanza]]. Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani Waingereza waliingia. Katika [[eneo la kudhaminiwa]] la [[Tanganyika]] Musoma ilikuwa makao makuu ya wilaya (''district'') ikaingia vile katika Tanzania huru.


[[Wajerumani]] wa kwanza walifika mnamo mwaka [[1910]]: walikuwa [[wamisionari]] kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na [[shule]] karibu na makao ya [[Mtemi]] Nyabange<ref>Kutokana na maelezo katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]] Nyabange iliyoitwa "Njawangi" ([[jer.]] "j"=y) ilikuwapo takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii</ref>.
Mwalimu [[Julius Nyerere]] alisoma shule hapa Musoma kuanzia mwaka 1934 na mwaka 1953 tarehe 21 Januari alirudi kufunga ndoa hapa na Maria Waningu Gabriel Magige katika kanisa la kikatoliki Musoma Mwisenge <ref>[https://books.google.co.uk/books?id=qDE3BAAAQBAJ&pg=PA231&lpg=PA231&dq=tanganyika+administration+musoma&source=bl&ots=t33uimYIhS&sig=RiDh-PWDkXTWdUeGxBb7hR9EG6s&hl=de&sa=X&ved=0CD8Q6AEwBWoVChMIn_v57sLjyAIVAscUCh1uRAG7#v=onepage&q=musoma&f=false Thomas Molony, Nyerere: The Early Years , Boydell & Brewer Ltd, 2014 , uk. 189]</ref>.


Wakafuatwa na [[afisa]] wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa [[forodha]]. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko [[kina]] cha [[maji]] ufukoni kilifaa zaidi kwa [[meli]] kufika<ref>Siso - Shetler, uk. 79</ref>. Hivyo Musoma ilianzishwa kama [[bandari]] na baadaye makao ya ofisa mdogo wa [[Mikoa_ya_Tanzania#Utawala_wa_Kijerumani|Mkoa wa kikoloni wa Mwanza]].
== Marejeo na Viungo vya Nje ==

* <references/>
Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani, [[Waingereza]] waliingia. Katika [[eneo la kudhaminiwa]] la [[Tanganyika]] Musoma ilikuwa makao makuu ya [[wilaya]] (''district'') ikaingia vile katika Tanzania huru.

Mwalimu [[Julius Nyerere]] alisoma shule hapa Musoma kuanzia mwaka [[1934]] na tarehe [[21 Januari]] [[1953]] alirudi hapa kufunga [[ndoa]] na Maria Waningu Gabriel Magige katika [[Kanisa Katoliki]] la Musoma Mwisenge <ref>[https://books.google.co.uk/books?id=qDE3BAAAQBAJ&pg=PA231&lpg=PA231&dq=tanganyika+administration+musoma&source=bl&ots=t33uimYIhS&sig=RiDh-PWDkXTWdUeGxBb7hR9EG6s&hl=de&sa=X&ved=0CD8Q6AEwBWoVChMIn_v57sLjyAIVAscUCh1uRAG7#v=onepage&q=musoma&f=false Thomas Molony, Nyerere: The Early Years , Boydell & Brewer Ltd, 2014 , uk. 189]</ref>.

== Marejeo ==
* <references/>

==Viungo vya Nje ==
*[https://books.google.co.uk/books?id=-Ers-_hrLv8C&pg=PA212&lpg=PA212&dq=musoma+tanganyika&source=bl&ots=tMhrPRLKmD&sig=0fGZwcRPK5P8HCUw7brQiAXrrf4&hl=de&sa=X&ved=0CCcQ6AEwAWoVChMI3dz01sLjyAIVAZYUCh2mCQ14#v=onepage&q=musoma&f=false Zedekia Oloo Siso, Jan Bender Shetler: Grasp the Shield Firmly, the Journey is Hard: A History of Luo and Bantu Migrations to North Mara (Tanzania), 1850-1950; African Books Collective, 2010]
*[https://books.google.co.uk/books?id=-Ers-_hrLv8C&pg=PA212&lpg=PA212&dq=musoma+tanganyika&source=bl&ots=tMhrPRLKmD&sig=0fGZwcRPK5P8HCUw7brQiAXrrf4&hl=de&sa=X&ved=0CCcQ6AEwAWoVChMI3dz01sLjyAIVAZYUCh2mCQ14#v=onepage&q=musoma&f=false Zedekia Oloo Siso, Jan Bender Shetler: Grasp the Shield Firmly, the Journey is Hard: A History of Luo and Bantu Migrations to North Mara (Tanzania), 1850-1950; African Books Collective, 2010]


{{Kata za Manisipaa ya Musoma}}
{{Kata za Manisipaa ya Musoma}}

{{mbegu-jio-mara}}
{{mbegu-jio-mara}}


Mstari 39: Mstari 46:
[[Jamii:Miji ya Tanzania]]
[[Jamii:Miji ya Tanzania]]
[[Jamii:Wilaya ya Musoma Mjini|*]]
[[Jamii:Wilaya ya Musoma Mjini|*]]
Kwa sasa Musoma ni makao makuu ya Mkoa wa Mara na ni mji wenye hadhi ya MANISPAA

Pitio la 11:22, 1 Julai 2017


Musoma
Musoma is located in Tanzania
Musoma
Musoma

Mahali pa mji wa Musoma katika Tanzania

Majiranukta: 1°29′24″S 33°48′0″E / 1.49000°S 33.80000°E / -1.49000; 33.80000
Nchi Tanzania
Mkoa Mara
Wilaya Musoma Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 108 242
Msimbo wa posta 31101 - 31113  

Musoma ni mji wa Tanzania uliopo kwenye mwambao wa mashariki wa Ziwa Viktoria. Musoma imepata halmashauri na hadhi ya manisipaa. Manispaa hiyo inapakana na Wilaya ya Musoma Vijijini. Ni makao makuu ya Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 [1].

Tembo beach

Historia

Kabla ya ukoloni eneo la Musoma lilikuwa nchi ya Wakabwe, kundi la Wajaluo waliowahi kuhamia hapa.[2]

Wajerumani wa kwanza walifika mnamo mwaka 1910: walikuwa wamisionari kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na shule karibu na makao ya Mtemi Nyabange[3].

Wakafuatwa na afisa wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa forodha. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko kina cha maji ufukoni kilifaa zaidi kwa meli kufika[4]. Hivyo Musoma ilianzishwa kama bandari na baadaye makao ya ofisa mdogo wa Mkoa wa kikoloni wa Mwanza.

Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani, Waingereza waliingia. Katika eneo la kudhaminiwa la Tanganyika Musoma ilikuwa makao makuu ya wilaya (district) ikaingia vile katika Tanzania huru.

Mwalimu Julius Nyerere alisoma shule hapa Musoma kuanzia mwaka 1934 na tarehe 21 Januari 1953 alirudi hapa kufunga ndoa na Maria Waningu Gabriel Magige katika Kanisa Katoliki la Musoma Mwisenge [5].

Marejeo

  • Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara
  • Siso - Shetler, uk. 75
  • Kutokana na maelezo katika Kamusi ya Koloni za Kijerumani Nyabange iliyoitwa "Njawangi" (jer. "j"=y) ilikuwapo takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii
  • Siso - Shetler, uk. 79
  • Thomas Molony, Nyerere: The Early Years , Boydell & Brewer Ltd, 2014 , uk. 189
  • Viungo vya Nje

    Kata za Wilaya ya Musoma Mjini - Mkoa wa Mara - Tanzania

    Buhare | Bweri | Iringo | Kamunyonge | Kigera | Kitaji | Kwangwa | Makoko | Mshikamano | Mukendo | Mwigobero | Mwisenge | Nyakato | Nyamatare | Nyasho | Rwamlimi


    Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
    Je unajua kitu kuhusu Musoma (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
    Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

    Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.