Bidhaa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Basket of health commodities (7250832322).jpg|alt=bidhaa|thumb|[[Kikapu]] chenye bidhaa mbalimbali za [[afya]].]]
'''Bidhaa''' ni kitu chochote kinacho toka kwenye [[soko]] kinachoweza kuridhisha watu.Kwenye [[utengenezaji]],bidhaa hununuliwa kama [[malighafi]] na kuuzwa kama bidhaa.pia [[huduma]] ni aina nyigine ya bidhaa kuu.
'''Bidhaa''' ni kitu chochote kinachotoka kwenye [[soko]] na kinachoweza kuridhisha [[watu]].
[[Picha:Basket of health commodities (7250832322).jpg|alt=bidhaa|thumb|bidhaa]]
Bidhaa kwa kawaida ni malighafi kama vile vyuma na bidhaa za [[kilimo]],lakini pia bidhaa inawaza ikawa kitu chochote ambacho kwa kawaida hupatikana sokoni.[[Dhana]] inayohusiana ni bidhaa ndogondogo.


Kwenye [[utengenezaji]] kwa kawaida hununuliwa kama [[malighafi]] (kama vile [[Chuma|vyuma]]) na kuuzwa kama bidhaa.
Bidhaa [[hatarishi]] ni zle zinazoweza kusababisha nadhara kwa jamii.
Bidhaa [[hatarishi]] ni zile zinazoweza kusababisha madhara kwa [[jamii]].

[[Mazao]] ya [[kilimo]] na [[huduma]] ni aina nyingine ya bidhaa kuu.

{{mbegu-uchumi}}

[[Jamii:Uchumi]]

Pitio la 14:56, 17 Juni 2017

bidhaa
Kikapu chenye bidhaa mbalimbali za afya.

Bidhaa ni kitu chochote kinachotoka kwenye soko na kinachoweza kuridhisha watu.

Kwenye utengenezaji kwa kawaida hununuliwa kama malighafi (kama vile vyuma) na kuuzwa kama bidhaa.

Bidhaa hatarishi ni zile zinazoweza kusababisha madhara kwa jamii.

Mazao ya kilimo na huduma ni aina nyingine ya bidhaa kuu.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bidhaa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.