Bidhaa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Bidhaa''' ni kitu chochote kinacho toka kwenye soko kinachoweza kuridhisha watu.Kwenye utengenezaji,bidhaa hununuliwa kama malighafi na kuuzwa ka...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:58, 17 Juni 2017

Bidhaa ni kitu chochote kinacho toka kwenye soko kinachoweza kuridhisha watu.Kwenye utengenezaji,bidhaa hununuliwa kama malighafi na kuuzwa kama bidhaa.pia huduma ni aina nyigine ya bidhaa kuu.

Bidhaa kwa kawaida ni malighafi kama vile vyuma na bidhaa za kilimo,lakini pia bidhaa inawaza ikawa kitu chochote ambacho kwa kawaida hupatikana sokoni.Dhana inayohusiana ni bidhaa ndogondogo.

Bidhaa hatarishi ni zle zinazoweza kusababisha nadhara kwa jamii.