Hasira : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
{{Vilema vikuu}}
{{Vilema vikuu}}
'''Hasira''' ni [[ono]] linalowapata [[binadamu]] na [[wanyama]] mbele ya kipingamizi.
'''Hasira''' ni [[ono]] linalowapata [[binadamu]] na [[wanyama]] mbele ya kipingamizi.
Katika hali hiyo mtu hughadhibika, hata kuchukia kwa kufanyiwa kitu ambacho yeye mwenyewe hakupenda.
Katika hali hiyo mtu hughadhibika, hata kuchukia kwa kupatwa na kitu ambacho yeye mwenyewe hapendi.


Ukiwa na hasira mara kwa mara, jaribu kuepuka mambo au vitu vinavyokuudhi, unaweza kuondoka mahali penye maudhi, na kama mnabishana unaweza kunyamaza ili uepukane na ugomvi.
Mtu mwenye hasira ya mara kwa mara, hushauriwa ajaribu kuepuka mambo au vitu vinavyomuudhi, kwa mfano, anaweza kuondoka mahali penye maudhi, na kama ni kubishana aweze kunyamaza ili kuepukana na ugomvi.


Pia inashauriwa kuwa, kama unajua mwenzio hukasirishwa na kitu fulani, bora usimchokoze, kwa sababu ni hatari kwa [[maisha]] yako maana kwa hasira yake anaweza kufanya kitu chochote kibaya.
Isiporatibiwa na mhusika inaweza ikasababisha madhara makubwa, inavyofundisha [[mithali]] ya [[Kiswahili]], "Hasira, hasara". Unaweza kujichukulia hatua mkononi na mwishowe ukafanya jambo la hatari.

Isiporatibiwa na mhusika inaweza ikasababisha madhara makubwa, inavyofundisha [[mithali]] ya [[Kiswahili]], "Hasira, hasara". Hasira hupelekea mtu kuvunja sheria kwa kujichukulia hatua mkononi na mwishowe kufanya jambo la hatari.


Ndiyo sababu inahesabiwa kati ya [[vilema]] vikuu ambavyo ni [[mizizi ya dhambi]] nyingine.
Ndiyo sababu inahesabiwa kati ya [[vilema]] vikuu ambavyo ni [[mizizi ya dhambi]] nyingine.
Mstari 15: Mstari 17:
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Vichwa vya dhambi]]
[[Jamii:Vichwa vya dhambi]]
Hasira ni hali ya mtu kughadhabika,kuhudhiwa na kitu au mambo ambayo hayapendi kwahiyo hasira hupelekea mtu kuvunja sheria kwa
mtu mwenye hasira hushahuliwa pale anapoona kuwa anahudhiwa ni vyema kuondoka eneo hilo,kama anabishana na mtu basi anyamaze.
Pia inashauliwa kuwa kama unajua mwenzio hukasirisha na kitu fulani bola usimchokoze sababu nihatari kwa maisha yako sababu
kwahasira yake anaweza kufanya kitu chochote kibaya(kuchukua hatua mkononi)

Pitio la 13:59, 16 Juni 2017

Hasira ya Akile dhidi ya Agamemnon ilivyochorwa na Giovanni Battista Tiepolo.
Vilema vikuu

Hasira ni ono linalowapata binadamu na wanyama mbele ya kipingamizi. Katika hali hiyo mtu hughadhibika, hata kuchukia kwa kupatwa na kitu ambacho yeye mwenyewe hapendi.

Mtu mwenye hasira ya mara kwa mara, hushauriwa ajaribu kuepuka mambo au vitu vinavyomuudhi, kwa mfano, anaweza kuondoka mahali penye maudhi, na kama ni kubishana aweze kunyamaza ili kuepukana na ugomvi.

Pia inashauriwa kuwa, kama unajua mwenzio hukasirishwa na kitu fulani, bora usimchokoze, kwa sababu ni hatari kwa maisha yako maana kwa hasira yake anaweza kufanya kitu chochote kibaya.

Isiporatibiwa na mhusika inaweza ikasababisha madhara makubwa, inavyofundisha mithali ya Kiswahili, "Hasira, hasara". Hasira hupelekea mtu kuvunja sheria kwa kujichukulia hatua mkononi na mwishowe kufanya jambo la hatari.

Ndiyo sababu inahesabiwa kati ya vilema vikuu ambavyo ni mizizi ya dhambi nyingine.