Maktaba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Melk - Abbey - Library.jpg|thumb|Maktaba ya [[Abasia ya Melk]] nchini [[Austria]].]]
[[File:Melk - Abbey - Library.jpg|thumb|Maktaba ya [[Abasia ya Melk]] nchini [[Austria]].]]
[[File:Halifax central library June 2015.jpg|thumb|[[Halifax Central Library]], mfano wa maktaba ya kisasa.]]
[[File:Halifax central library June 2015.jpg|thumb|[[Halifax Central Library]], mfano wa maktaba ya kisasa.]]
[[Picha:NYC Public Library Research Room Jan 2006-1- 3.jpg|thumb|245x245px|mfano wa mktaba]]
[[Picha:NYC Public Library Research Room Jan 2006-1- 3.jpg|thumb|245x245px|[[Ukumbi]] wa kujisomea katika maktaba ya [[New York City]].]]
[[Picha:NYC Public Library Research Room Jan 2006-1- 3.jpg|thumb|mfano wa mktaba]]
'''Maktaba''' ni sehemu au jengo lililo maalum kwa ajili ya kujisomea na kujifunza
'''Maktaba''' ni sehemu au jengo lililo maalum kwa ajili ya kujisomea na kujifunza
juu ya vitu mbalimbali. Kuna aina kadhaa za maktaba ila zote hazina tofauti kwani zina lengo moja: kutoa [[elimu]].
juu ya vitu mbalimbali. Kuna aina kadhaa za maktaba ila zote hazina tofauti kwani zina lengo moja: kutoa [[elimu]].

Pitio la 13:50, 16 Juni 2017

Maktaba ya Abasia ya Melk nchini Austria.
Halifax Central Library, mfano wa maktaba ya kisasa.
Ukumbi wa kujisomea katika maktaba ya New York City.

Maktaba ni sehemu au jengo lililo maalum kwa ajili ya kujisomea na kujifunza juu ya vitu mbalimbali. Kuna aina kadhaa za maktaba ila zote hazina tofauti kwani zina lengo moja: kutoa elimu.

Asilimia kubwa ya maktaba huwa na vitabu vya aina mbalimbali, kwa mfano: vya kiada na ziada.

Pia unaweza kuwa na maktaba yako binafsi na licha ya kuwa na maktaba yako unaweza kwenda shuleni ukaingia maktaba kwani kuna maktaba ya shule.

Pia kuna maktaba ya kijiji, ya wilaya, ya mkoa na hata ya taifa, zote hizi kwa ajili ya elimu.