Hasira : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15: Mstari 15:
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Vichwa vya dhambi]]
[[Jamii:Vichwa vya dhambi]]
Hasira ni hali ya mtu kughadhabika,kuhudhiwa na kitu au mambo ambayo hayapendi kwahiyo hasira hupelekea mtu kuvunja sheria kwa
mtu mwenye hasira hushahuliwa pale anapoona kuwa anahudhiwa ni vyema kuondoka eneo hilo,kama anabishana na mtu basi anyamaze.
Pia inashauliwa kuwa kama unajua mwenzio hukasirisha na kitu fulani bola usimchokoze sababu nihatari kwa maisha yako sababu
kwahasira yake anaweza kufanya kitu chochote kibaya(kuchukua hatua mkononi)

Pitio la 13:15, 16 Juni 2017

Hasira ya Akile dhidi ya Agamemnon ilivyochorwa na Giovanni Battista Tiepolo.
Vilema vikuu

Hasira ni ono linalowapata binadamu na wanyama mbele ya kipingamizi. Katika hali hiyo mtu hughadhibika, hata kuchukia kwa kufanyiwa kitu ambacho yeye mwenyewe hakupenda.

Ukiwa na hasira mara kwa mara, jaribu kuepuka mambo au vitu vinavyokuudhi, unaweza kuondoka mahali penye maudhi, na kama mnabishana unaweza kunyamaza ili uepukane na ugomvi.

Isiporatibiwa na mhusika inaweza ikasababisha madhara makubwa, inavyofundisha mithali ya Kiswahili, "Hasira, hasara". Unaweza kujichukulia hatua mkononi na mwishowe ukafanya jambo la hatari.

Ndiyo sababu inahesabiwa kati ya vilema vikuu ambavyo ni mizizi ya dhambi nyingine.

Hasira ni hali ya mtu kughadhabika,kuhudhiwa na kitu au mambo ambayo hayapendi kwahiyo hasira hupelekea mtu kuvunja sheria kwa mtu mwenye hasira hushahuliwa pale anapoona kuwa anahudhiwa ni vyema kuondoka eneo hilo,kama anabishana na mtu basi anyamaze. Pia inashauliwa kuwa kama unajua mwenzio hukasirisha na kitu fulani bola usimchokoze sababu nihatari kwa maisha yako sababu kwahasira yake anaweza kufanya kitu chochote kibaya(kuchukua hatua mkononi)