Anatomia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Mondino - Anathomia, 1541 - 3022668.tif|thumb|[[Mondino dei Liuzzi]], ''Anathomia'', 1541]]
[[Image:Mondino - Anathomia, 1541 - 3022668.tif|thumb|[[Mondino dei Liuzzi]], ''Anathomia'', 1541]]
'''Anatomia''' (pia '''anatomi'''<ref>Anatomi ni pendekezo la [[KyT]] kutokana na matamshi ya Kiingereza</ref>, ''[[:en:anatomy]]'', kutoka [[Kigiriki]] ἀνατέμνειν ''anatemein - kupasua, kufungua'') ni elimu ya [[mwili|miili]] ya [[viumbehai]] kama [[binadamu]], [[wanyama]] na [[mimea]]. Inachungulia muundo na maumbile ya mwili na sehemu au viungo vyake.
'''Anatomia''' (pia '''anatomi'''<ref>Anatomi ni pendekezo la [[KyT]] kutokana na matamshi ya Kiingereza</ref>, ''[[:en:anatomy]]'', kutoka [[Kigiriki]] ἀνατέμνειν ''anatemnein - kupasua, kufungua'') ni [[elimu]] ya [[mwili|miili]] ya [[viumbehai]] kama [[binadamu]], [[wanyama]] na [[mimea]]. Inachungulia [[muundo]] na umbile la mwili na sehemu au [[viungo]] vyake.


Wataalamu wa anatomia hufungua mwili na kuikata kwa sehemu zake kwa kusudi la kuongeza elimu ya muundo wake.
[[Wataalamu]] wa anatomia hufungua mwili na kuikata kwa sehemu zake kwa kusudi la kuongeza elimu ya muundo wake.

Elimu hii inasaidia kuelewa magonjwa, sababu na matokeo yao. Ni pia msingi wa mafundisho ya tiba na elimu ya matibabu.


Elimu hii inasaidia kuelewa [[magonjwa]], pamoja na [[sababu]] na matokeo yake. Ni pia msingi wa mafundisho ya [[tiba]] na elimu ya matibabu.


==Marejeo==
==Marejeo==
<references/>
<references/>



== Tazama pia ==
== Tazama pia ==
* [[Tiba]]
* [[Biolojia]]
* [[Biolojia]]
* [[Sayansi]]
* [[Sayansi]]
Mstari 20: Mstari 17:
[[Jamii:Anatomia|*]]
[[Jamii:Anatomia|*]]
[[Jamii:Mwili]]
[[Jamii:Mwili]]
[[Jamii:Biolojia]]

Pitio la 11:54, 16 Juni 2017

Mondino dei Liuzzi, Anathomia, 1541

Anatomia (pia anatomi[1], en:anatomy, kutoka Kigiriki ἀνατέμνειν anatemnein - kupasua, kufungua) ni elimu ya miili ya viumbehai kama binadamu, wanyama na mimea. Inachungulia muundo na umbile la mwili na sehemu au viungo vyake.

Wataalamu wa anatomia hufungua mwili na kuikata kwa sehemu zake kwa kusudi la kuongeza elimu ya muundo wake.

Elimu hii inasaidia kuelewa magonjwa, pamoja na sababu na matokeo yake. Ni pia msingi wa mafundisho ya tiba na elimu ya matibabu.

Marejeo

  1. Anatomi ni pendekezo la KyT kutokana na matamshi ya Kiingereza

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anatomia kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.