Tofauti kati ya marekesbisho "Kamusi ya Tiba"

Jump to navigation Jump to search
4 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
'''Kamusi ya Tiba''' ('''KyT''') ni kamusi iliyotolewa na [[TUKI]] inayokusanya istilahi za [[tiba]]. Inapanga istilahi kwa lugha ya Kiingereza na kuonyesha visawe vyake vya Kiswahili.
 
Kamusi hii iliandaliwa na wanaistilahi wawili wa [[Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili]] kwenye [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] ambao ni A.M.A. Mwita pamoja na H.J.M. Mwansoko na kuchapishwa mara ya kwanza mwaka 2003 kwa kutumia [[ISBN]] 9976 -911 -65 -3.
 
Kamusi hii haipatikani kwa urahisi kwenye maduka ya vitabu nje ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na hivyo istilahi zake hazikutumiwa katika makala za kwanza za tiba zilizotungwa katika wikipedia hii.

Urambazaji