Siri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
SIRI
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''SIRI''' ni [[jambo]] lolote ambalo [[mtu]] analona hata [[kumshirikisha]] mtu yeyote
'''Siri''' ni [[jambo]] lolote ambalo [[mtu]] analiona haifai kumshirikisha mtu yeyote
yule, haijalishi ni nani.
yuleaijalishi ninani

Kila mmoja ana [[haki]] ya kuwa na siri zake.

Katika [[maisha]] ya [[jamii]], siri ni muhimu, kiasi kwamba ni [[wajibu]] kwa baadhi ya [[kazi]], kama vile [[ushauri]], [[uganga]], [[huduma]] za [[benki]] n.k.

{{mbegu}}

[[Jamii:Saikolojia]]
[[Jamii:Maadili]]

Pitio la 14:11, 12 Juni 2017

Siri ni jambo lolote ambalo mtu analiona haifai kumshirikisha mtu yeyote yule, haijalishi ni nani.

Kila mmoja ana haki ya kuwa na siri zake.

Katika maisha ya jamii, siri ni muhimu, kiasi kwamba ni wajibu kwa baadhi ya kazi, kama vile ushauri, uganga, huduma za benki n.k.