Wajibu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Wajibu
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
wajibu ni kazi au jambo fulani ambalo nilazima ufanye au kutimiza
'''Wajibu''' ni [[kazi]] au jambo fulani ambalo ni lazima ufanye au kutimiza.

kila mtu ana wajibu wake atakama awe ni baba wafamilia
Kila [[mtu]] ana wajibu wake, hata kama ni [[baba]] wa [[familia]].
mfano wa waufanya wajibu
kwa baba:kulinda familia yake
Mifano ya wajibu:
kusomesha watoto wake
*kwa '''baba''':
kufanya kazi kwa bidii
*kulinda familia yake
kwa mama:kumsaidia baba kazi
*kusomesha [[watoto]] wake
kuwapa watoto upedokwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu
*kufanya [[kazi]] kwa bidii
kufanya kazi

kwa mtoto:kusoma kwa dibii
*kwa '''mama''':
kutii wazazi
*kumsaidia baba kazi
kufanya kazi za nyumbani n.k
*kuwapa watoto [[upendo]], kwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu
kusoma kwa bidii
*kufanya kazi

*kwa '''mtoto''':
*kusoma kwa bidii
*kutii [[wazazi]]
*kufanya [[kazi za nyumbani]] n.k.
*kusoma kwa bidii

{{mbegu}}

[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Elimu jamii]]

Pitio la 07:13, 10 Juni 2017

Wajibu ni kazi au jambo fulani ambalo ni lazima ufanye au kutimiza.

Kila mtu ana wajibu wake, hata kama ni baba wa familia.

Mifano ya wajibu:

  • kwa baba:
  • kulinda familia yake
  • kusomesha watoto wake
  • kufanya kazi kwa bidii
  • kwa mama:
  • kumsaidia baba kazi
  • kuwapa watoto upendo, kwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu
  • kufanya kazi