Rutuba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Rutuba''' ni uwezo wa ardhi kufanikisha ukuaji wa mazao kwa ajili ya kilimo, au pia ni uwezo wa ardhi kutoa makao kwa mimea na kusababisha uzalishaji...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Rutuba''' ni uwezo wa ardhi kufanikisha ukuaji wa mazao kwa ajili ya [[kilimo]], au pia ni uwezo wa [[ardhi]] kutoa makao kwa mimea na kusababisha uzalishaji ulio thabiti na endelevu uliona ubora wa hali juu.
'''Rutuba''' ni uwezo wa [[ardhi]] kufanikisha ukuaji wa [[mazao]] kwa ajili ya [[kilimo]], au pia ni uwezo wa ardhi kutoa makao kwa [[mimea]] na kusababisha [[uzalishaji]] ulio thabiti na endelevu ulio na ubora wa hali ya juu.
*Ni uwezo wa ugavi wa virutubisho muhimu vya mmea na maji kwa kiasi cha kutosha kwa ajili ya ukuaji na uzalishaji wa mimea).
*Ni uwezo wa ugavi wa [[virutubisho]] muhimu vya mimea na [[maji]] kwa kiasi cha kutosha kwa ajili ya ukuaji na uzalishaji wa mimea.


Sifa zifuatazo zinachangia rutuba kwa namna mbalimbali:
Sifa zifuatazo zinachangia rutuba kwa namna mbalimbali:
*Kina cha udongo cha kutosha kwa ajili ya ukuaji wa mizizi na uhifadhi bora wa maji.
*[[Kina]] cha [[udongo]] cha kutosha kwa ajili ya ukuaji wa [[mizizi]] na uhifadhi bora wa maji.
*Mifereji ya ndani ya maji ianyoruhusu upitishaji wa hewa kwa urahisi kwa ajili ya ukuaji mzuri wa mizizi(ingawa kuna baadhi ya mimea kama vile mpunga, hustahimili maji yaliyotwama.
*[[Mifereji]] ya ndani ya maji inayoruhusu upitishaji wa [[hewa]] kwa urahisi kwa ajili ya ukuaji mzuri wa mizizi (ingawa kuna baadhi ya mimea, kama vile [[mpunga]], ambayo hustahimili maji yaliyotwama).

{{mbegu}}

[[Jamii:Kilimo]]

Pitio la 14:48, 9 Juni 2017

Rutuba ni uwezo wa ardhi kufanikisha ukuaji wa mazao kwa ajili ya kilimo, au pia ni uwezo wa ardhi kutoa makao kwa mimea na kusababisha uzalishaji ulio thabiti na endelevu ulio na ubora wa hali ya juu.

  • Ni uwezo wa ugavi wa virutubisho muhimu vya mimea na maji kwa kiasi cha kutosha kwa ajili ya ukuaji na uzalishaji wa mimea.

Sifa zifuatazo zinachangia rutuba kwa namna mbalimbali:

  • Kina cha udongo cha kutosha kwa ajili ya ukuaji wa mizizi na uhifadhi bora wa maji.
  • Mifereji ya ndani ya maji inayoruhusu upitishaji wa hewa kwa urahisi kwa ajili ya ukuaji mzuri wa mizizi (ingawa kuna baadhi ya mimea, kama vile mpunga, ambayo hustahimili maji yaliyotwama).