Kiolwa cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
No edit summary
d Kipala alihamisha ukurasa wa Gimba la angani hadi Kiolwa cha angani: kusanifisha lugha, Kiolwa kimekuwa kawaida katika vitabu vya shule
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:13, 8 Juni 2017

Gimba la angani (ing. astronomical object au celestial body) ni jina kwa ajili ya vitu au violwa vinayopatikana katika anga ya ulimwengu.

Kati ya vitu hivi huhesabiwa:

Haya yote ni magimba asilia. Vitu angani vilivyotengenezwa na binadamu ni vyombo vya angani ingawa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya angani vilivyovunjika au takataka kutokana safari za angani yanastahili kuitwa kwa neno hili.

Elimu ya magimba ya angani ni astronomia.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiolwa cha angani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.