Yosefu wa Arimataya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Pietro Perugino 012.jpg|250px|thumb|Yosefu wa Arimataya alivyochorwa na [[Pietro Perugino]].]]
[[Image:Pietro Perugino 012.jpg|250px|thumb|Yosefu wa Arimataya alivyochorwa na [[Pietro Perugino]].]]
[[File:Brooklyn Museum - Joseph of Arimathaea Seeks Pilate to Beg Permission to Remove the Body of Jesus - James Tissot.jpg|thumb|right|250px|Yosefu akimuomba Pilato ruhusa ya kumzika [[Yesu]], kadiri ya [[James Tissot]].]]
'''Yosefu wa Arimataya''' alikuwa [[Myahudi]] [[mwanamume]] wa [[karne ya 1]], maarufu hasa kutokana na habari zake zinazopatikana katika [[Injili]] ([[Mk]] 15:42-46; [[Math]] 27:57-60; [[Lk]] 23:50-53; [[Yoh]] 19;38-42).

Mstari 10: Mstari 11:
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[31 Agosti]] au nyingine.
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[31 Agosti]] au nyingine.

==Tazama pia==
[[File:Brooklyn Museum - Joseph of Arimathaea Seeks Pilate to Beg Permission to Remove the Body of Jesus - James Tissot.jpg|thumb|right|250px|Yosefu akimuomba Pilato ruhusa ya kumzika [[Yesu]], kadiri ya [[James Tissot]].]]
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]

== Tanbihi==
== Tanbihi==

Pitio la 12:11, 1 Juni 2017

Yosefu wa Arimataya alivyochorwa na Pietro Perugino.
Yosefu akimuomba Pilato ruhusa ya kumzika Yesu, kadiri ya James Tissot.

Yosefu wa Arimataya alikuwa Myahudi mwanamume wa karne ya 1, maarufu hasa kutokana na habari zake zinazopatikana katika Injili (Mk 15:42-46; Math 27:57-60; Lk 23:50-53; Yoh 19;38-42).

Habari za ziada, lakini si za kuaminika, zinapatikana katika vitabu ambavyo havimo katika Biblia ya Kikristo, hasa Injili ya Nikodemu.

Tajiri na mtu wa baraza la Israeli, alichukua jukumu la kumzika Yesu Kristo, akiomba ruhusa ya Ponsyo Pilato na kujitolea kaburi alilokuwa amejiandalia pangoni kwenye Kalivari.

Anaheshimiwa kama mtakatifu na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, Waanglikana, Walutheri na madhehebu mengine ya Ukristo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Agosti au nyingine.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yosefu wa Arimataya kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.