Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
45,378
edits
[[Picha:Thermometer.JPG|250px|thumbnail|Kipimajoto (thermomita) inaonyesha kiwango cha halijoto ama joto au baridi]]
'''Halijoto''' (pia: '''Jotoridi''') ni neno la kutaja hali ya kitu kama ni baridi au moto.
Wanadamu wana mishipa inayoonyesha tofauti kati ya baridi na joto. Kwa kuwa na uhakika tunatumia [[thermomita]] inayoonyesha halijoto kwa kipimo kama [[selsiasi]], [[kelvini]] au [[fahrenheit]].
|