Rukia yaliyomo

Charles Sacleux : Tofauti kati ya masahihisho

185 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
No edit summary
Sacleux alikuwa padre wa [[shirika ya Roho Mtakatifu]].
 
Sacleux alikuwa misionari mkatoliki wa kwanza aliyeandika juu ya [[Kiswahili]]. Alitunga sarufi na [[kamusi ya Kiswahili]]. Mwaka 1891 alitunga kamusi ya "Dictionnaire Français—Swahili" iliyochapishwa 1939<ref>[http://www.uni-leipzig.de/~afrika/swafo/documents/Sacleux1939_small_size_290_MB.pdf Kamusi ya Sacleux kwenye tovuti ya [[Chuo Kikuu cha Leipzig]]]</ref>. Mwaka 1909 alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya lahaja za Kiswahili). Vitabu vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.
 
Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika nyimbo za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika kanisa katoliki.
 
Katika kazi yake ya [[botania]] alikusanya mimea mingi ya Afrika ya Mashariki na kuieleza akapokea tuzo za kitaalamu kwa utafiti huu.
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==