Ilias : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[Picha:Beginning Iliad.svg|thumb|right|250px|Aya ya kwanza ya ''Iliadi'']]
[[Picha:Beginning Iliad.svg|thumb|right|250px|Aya ya kwanza ya ''Iliadi'']]
[[Picha:Homeric Greece-en.svg|thumb|250px|Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer]]
[[Picha:Homeric Greece-en.svg|thumb|250px|Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer]]
'''Ilias''' au '''Iliadi''' ([[Kigiriki]] Ἰλιάς ''ilias'', jina mbadala la mji wa [[Troia]]) ni utenzi wa kale na mfano wa kwanza wa [[fasihi andishi]] ya utamaduni wa [[Ugiriki ya Kale]].
'''Ilias''' au '''Iliadi''' (kwa [[Kigiriki]] Ἰλιάς, ''ilias'', [[jina]] mbadala la [[mji]] wa [[Troia]]) ni [[utenzi]] wa kale na mfano wa kwanza wa [[fasihi andishi]] ya [[utamaduni]] wa [[Ugiriki ya Kale]]. Ilitungwa kama utenzi wa [[fasihi simulizi]] na kuandikwa mnamo [[karne ya 8 KK]] ikiwa na [[nyimbo]] au sehemu kubwa 24.
Ilitungwa kama tenzi wa [[fasihi simulizi]] na kuandikwa mnamo [[karne ya 8 KK]] ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24.


Utenzi huu inasimulia matukio ya [[vita ya Troia]] pamoja na habari za mashujaa zake pande mbili za vita hii. Inakusanya pia habari nyingi za miungi ya Ugiriki. Anayetajwa kama mwandishi ni mshairi [[Homer]] hata kama wataalamu wa kisasa wanajadiliana huyu alikuwa nani na kama aliishi kweli.
Utenzi huu unasimulia matukio ya [[vita ya Troia]] pamoja na habari za mashujaa wake pande [[mbili]] za [[vita]] hii. Inakusanya pia habari nyingi za [[miungu]] ya [[Ugiriki]].


Anayetajwa kama [[mwandishi]] ni [[mshairi]] [[Homer]] hata kama [[wataalamu]] wa kisasa wanajadiliana huyu alikuwa nani na kama aliishi kweli.
Katika historia ndefu ya miaka 10 ya vita ya Troia Ilias inasimulia wiki za mwisho tu. Inaanza na hasira ya mungu Apollon kwa sababu ya tendo la Achilles kumteka binti wa kuhani wa mungu huyu na fitina kati ya mshujaa Achilles na mfalme Agamemnon inayofuata. Kutokana na fitna hii Achilles anagoma kushiriki katika vita tena na sasa Wagiriki hawawezi kushindana tena na Watroya. Wakati Wagiriki wanaelekea kushindwa Achilles anaudi vitani baada ya kuawa kwa rafiki yake Patroklos kwa mkono wa shujaa Mtroia Hektor. Anamwua Hektor na kuacha maiti yake kwa siku 12 kwenye mchanga. Mwishoni anatulia anamruhusu babake Hektor kumzika mwanawe.

Katika [[historia]] ndefu ya miaka 10 ya vita ya Troia Ilias inasimulia [[wiki]] za mwisho tu. Inaanza na [[hasira]] ya mungu [[Apollon]] kwa sababu ya tendo la [[Achilles]] kumteka [[binti]] wa [[kuhani]] wa mungu huyu na [[fitina]] kati ya [[shujaa]] Achilles na [[mfalme]] [[Agamemnon]] inayofuata. Kutokana na fitina hii Achilles anagoma kushiriki tena katika vita na sasa Wagiriki hawawezi kushindana tena na Watroya. Wakati Wagiriki wanaelekea kushindwa Achilles anarudi vitani baada ya kuuawa kwa [[rafiki]] yake [[Patroklos]] kwa [[mkono]] wa shujaa Mtroia [[Hektor]]. Anamwua Hektor na kuacha [[maiti]] yake kwa siku 12 kwenye [[mchanga]]. Mwishoni anatulia na kumruhusu [[baba]] yake Hektor kumzika [[Mwana|mwanawe]].


Majina muhimu katika Ilias ni pamoja na [[Achilles]], [[Odiseo]], [[Agamemnon]], [[Menelao]], [[Priamo]], [[Hektor]], [[Paris (mitholojia)|Paris]] na [[Helena]].
Majina muhimu katika Ilias ni pamoja na [[Achilles]], [[Odiseo]], [[Agamemnon]], [[Menelao]], [[Priamo]], [[Hektor]], [[Paris (mitholojia)|Paris]] na [[Helena]].


Pamoja na utenzi mwingine wa Homer unaoitwa ''[[Odisei]]'' ni chanzo cha fasihi ya Ugiriki ya Kale.
Pamoja na utenzi mwingine wa Homer unaoitwa ''[[Odisei]]'', Ilias ni [[chanzo]] cha [[fasihi]] ya Ugiriki ya Kale.


== Viungo va Nje ==
== Viungo va nje ==
{{wikisource|Author:Homer|Iliad}}
{{wikisource|Author:Homer|Iliad}}
{{wikiquote-en|Homer|Iliad}}
* [http://publicliterature.org/books/iliad/xaa.php ''Iliad''], online version of the work by Homer (English). Pope translation.
* [http://publicliterature.org/books/iliad/xaa.php ''Iliad''], online version of the work by Homer (English). Pope translation.
* ''Iliad'' in Ancient Greek: [http://www.perseus.tufts.edu/cgi-bin/ptext?lookup=Hom.+Il.+1.1 from the Perseus Project] (PP), with the Murray and Butler translations and hyperlinks to mythological and grammatical commentary; [http://www.library.northwestern.edu/homer/html/application.html via the Chicago Homer], with the Lattimore translation and markup indicating formulaic repetitions
* ''Iliad'' in Ancient Greek: [http://www.perseus.tufts.edu/cgi-bin/ptext?lookup=Hom.+Il.+1.1 from the Perseus Project] (PP), with the Murray and Butler translations and hyperlinks to mythological and grammatical commentary; [http://www.library.northwestern.edu/homer/html/application.html via the Chicago Homer], with the Lattimore translation and markup indicating formulaic repetitions
<!-- interwiki -->

[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Fasihi ya Kigiriki]]
[[Jamii:Fasihi ya Kigiriki]]

Pitio la 17:51, 26 Mei 2017

Achilles anamsaidia Patroklos mjeruhiwa
Aya ya kwanza ya Iliadi
Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer

Ilias au Iliadi (kwa Kigiriki Ἰλιάς, ilias, jina mbadala la mji wa Troia) ni utenzi wa kale na mfano wa kwanza wa fasihi andishi ya utamaduni wa Ugiriki ya Kale. Ilitungwa kama utenzi wa fasihi simulizi na kuandikwa mnamo karne ya 8 KK ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24.

Utenzi huu unasimulia matukio ya vita ya Troia pamoja na habari za mashujaa wake pande mbili za vita hii. Inakusanya pia habari nyingi za miungu ya Ugiriki.

Anayetajwa kama mwandishi ni mshairi Homer hata kama wataalamu wa kisasa wanajadiliana huyu alikuwa nani na kama aliishi kweli.

Katika historia ndefu ya miaka 10 ya vita ya Troia Ilias inasimulia wiki za mwisho tu. Inaanza na hasira ya mungu Apollon kwa sababu ya tendo la Achilles kumteka binti wa kuhani wa mungu huyu na fitina kati ya shujaa Achilles na mfalme Agamemnon inayofuata. Kutokana na fitina hii Achilles anagoma kushiriki tena katika vita na sasa Wagiriki hawawezi kushindana tena na Watroya. Wakati Wagiriki wanaelekea kushindwa Achilles anarudi vitani baada ya kuuawa kwa rafiki yake Patroklos kwa mkono wa shujaa Mtroia Hektor. Anamwua Hektor na kuacha maiti yake kwa siku 12 kwenye mchanga. Mwishoni anatulia na kumruhusu baba yake Hektor kumzika mwanawe.

Majina muhimu katika Ilias ni pamoja na Achilles, Odiseo, Agamemnon, Menelao, Priamo, Hektor, Paris na Helena.

Pamoja na utenzi mwingine wa Homer unaoitwa Odisei, Ilias ni chanzo cha fasihi ya Ugiriki ya Kale.

Viungo va nje

  • Iliad, online version of the work by Homer (English). Pope translation.
  • Iliad in Ancient Greek: from the Perseus Project (PP), with the Murray and Butler translations and hyperlinks to mythological and grammatical commentary; via the Chicago Homer, with the Lattimore translation and markup indicating formulaic repetitions