Tofauti kati ya marekesbisho "Troia"

Jump to navigation Jump to search
117 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|320px|Kuta mashuhuri za Troia zilizotajwa mara nyingi katika utenzi wa [[Iliadi ya Homer]] Image:Plan Troy-Hisarlik-...')
 
No edit summary
[[Image:Plan Troy-Hisarlik-en.svg|thumb|320px|Awamu za kukua kwa Troia kufuatana na utafiti wa akiolojia]]
[[File:Homeric Greece-en.svg|thumb|320px|Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer]]
'''Troia''' (kwa [[gir.Kigiriki]]: Τροία, ''troia'', pia Ίλιον, ''ilion''; kwa [[ing.Kiingereza]]: ''Troy'')<ref>{{cite web|first=Charlton T.|last=Lewis|coauthors=Charles Short|title=Ilium|work=A Latin Dictionary|publisher=Tufts University: The Perseus Digital Library|url=http://www.perseus.tufts.edu/cgi-bin/ptext?layout.reflang=la;layout.refdoc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0059;layout.reflookup=Ilium;layout.refcit=;doc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0059%3Aentry%3D%2321459|accessdate=2008}}</ref> ilikuwaulikuwa [[mji]] katikawa [[Asia Ndogo]] zamani za [[Ugiriki ya Kale]]. Inajulikana kutokana na [[utenzi]] wa [[Iliadi]] ambakoambamo [[mshairi]] [[Homer]] alisimulia habari za [[Vita ya Troia]].<ref>{{cite book|first=Jenny|last=March|title=The Penguin Book of Classical Myths|date=2008|isbn=978-0-141-02077-8|publisher=Penguin Books|page=294}}</ref>
 
Kwa [[karne]] nyingi mahali pa mji hapajulikanahapakujulikana ingawa watu wengi walijaribu kupakuta kwa saabusababu ya umaarufu wa utenzi huuhuo uliokuwa na maana sana katika [[utamaduni]] wa [[Ulaya]]. Mnamo mwaka [[1868]] [[Mjerumani]] [[Heinrich Schliemann]] alianza kuchimba kwenye [[kilima]] cha [[Hisarlik]] kilichopo karibu na mji wa [[Çanakkale]] kwenye mgharibi[[magharibi]] [[kaskazini]] yamwa [[Uturuki]]. Alikuta mabaki ya [[Jengo|majengo]] na kuta kubwa na baada ya majadiliano marefu leo hii [[wataalamu]] hukubaliana hapa palikuwa mahali pa Troia ya Kale.
'''Troia''' ([[gir.]]: Τροία, ''troia'', pia Ίλιον, ''ilion''; [[ing.]]: ''Troy'')<ref>{{cite web|first=Charlton T.|last=Lewis|coauthors=Charles Short|title=Ilium|work=A Latin Dictionary|publisher=Tufts University: The Perseus Digital Library|url=http://www.perseus.tufts.edu/cgi-bin/ptext?layout.reflang=la;layout.refdoc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0059;layout.reflookup=Ilium;layout.refcit=;doc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0059%3Aentry%3D%2321459|accessdate=2008}}</ref> ilikuwa mji katika [[Asia Ndogo]] zamani za [[Ugiriki ya Kale]]. Inajulikana kutokana na utenzi wa [[Iliadi]] ambako mshairi [[Homer]] alisimulia habari za [[Vita ya Troia]].<ref>{{cite book|first=Jenny|last=March|title=The Penguin Book of Classical Myths|date=2008|isbn=978-0-141-02077-8|publisher=Penguin Books|page=294}}</ref>
 
[[Maghofu]] ya Troia yamepokelewa katika orodha ya [[urithi wa dunia]] ya [[UNESCO]]. Azimio hili lilitokalilitolewa kwa maelezo yafuatayo:
Kwa karne nyingi mahali pa mji hapajulikana ingawa watu wengi walijaribu kupakuta kwa saabu ya umaarufu wa utenzi huu uliokuwa na maana sana katika utamaduni wa Ulaya. Mnamo mwaka 1868 Mjerumani Heinrich Schliemann alianza kuchimba kwenye kilima cha [[Hisarlik]] kilichopo karibu na mji wa [[Çanakkale]] kwenye mgharibi kaskazini ya Uturuki. Alikuta mabaki ya majengo na kuta kubwa na baada ya majadiliano marefu leo hii wataalamu hukubaliana hapa palikuwa mahali pa Troia ya Kale.
 
"Mahali pa kiakolojia[[Akiolojia|kiakiolojia]] pa Troia ni muhimu sana kwa kuelewa vyanzo vya [[maendeleo]] ya [[ustaarabu]] wa Ulaya. Pana pia umuhimu mkubwa wa kiutamaduni kutokana na athira kubwa ya Iliadi ya Homer juu ya [[sanaa]] kwa muda wa zaidi ya [[milenia]] [[mbili]]". <ref>[http://whc.unesco.org/en/list/849 UNESCO citation]</ref>
Maghofu ya Troia yamepokelewa katika orodha ya [[urithi wa dunia]] ya [[UNESCO]]. Azimio hili lilitoka kwa maelezo yafuatayo:
 
"Mahali pa kiakolojia pa Troia ni muhimu sana kwa kuelewa vyanzo vya maendeleo ya ustaarabu wa Ulaya. Pana pia umuhimu mkubwa wa kiutamaduni kutokana na athira kubwa ya Iliadi ya Homer juu ya sanaa kwa muda wa zaidi ya milenia mbili". <ref>[http://whc.unesco.org/en/list/849 UNESCO citation]</ref>
 
==Tanbihi==
<references/>
 
 
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]

Urambazaji