Kituva : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kituva''' ni lugha ya Kiturki nchini Urusi, Mongolia na Uchina inayozungumzwa na Watuva. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji...'
 
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
 
Mstari 3: Mstari 3:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/tyv lugha ya Kituva kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/tyv lugha ya Kituva kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/tyv.html ramani ya Kituva]
*[http://www.language-archives.org/language/tyv makala za OLAC kuhusu Kituva]
*[http://www.language-archives.org/language/tyv makala za OLAC kuhusu Kituva]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/tuvi1240 lugha ya Kituva katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/tuvi1240 lugha ya Kituva katika Glottolog]

Toleo la sasa la 13:43, 25 Mei 2017

Kituva ni lugha ya Kiturki nchini Urusi, Mongolia na Uchina inayozungumzwa na Watuva. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kituva nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 254,000. Pia kuna wasemaji 27,000 nchini Mongolia (1993) na 2400 nchini Uchina (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kituva iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kituva kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.